Matumizi sahihi ya JF yanaweza kukufanya uishi maisha swadakta!

Mashangazi hua yana amini vijana wanaongea ukweli kila jambo,sababu wanapumbazika na mapenzi....

Mashangazi yakikuelewa na kudanganyika hadi katika urithi yanakuweka.....hahhaahh...

Hayajui vijana wa sasa ni ma-monster...hahaaahaa
 
Kuna msela nilibishana nae hapa kuna uzi mmoja yule jamaa nataka nimwabie samahani pia niseme Asanteee lakini sikumbuki ID yake. Ilikuwa miaka 7 nyuma alitaja kazi na hela unayo pata nimekwenda kuifanya hio kazi sasa naimiliki haswaaa. Hela inayoingia kwa wiki mishahara ya walimu 10.
 
JF inafundisha,inapasha habari,inakukosoa,inakuelimisha na kuburudisha........... mengine yakitokea ni bonus
 
Haaa haaa zarau kwa walimu mkuu omba msamaha😄
 
Nilazimaa, Kuna mambo yanateleza , ili nitaendelea kulipiga na ukuni hata kwenye 55 yrs
😄😄😄....ukuni ukoleze na ikiwezekana washa moto kabisa....Hadi akifika 60's huko
..kikubwa mpango kazi,😄
 
Tuna tofautiana katika kutafsiri mafanikio kwangu kwanza nikupongeze lakini pia binafsi mafanikio yangu humu nipamoja na kupata mawazo mbadala na kubadilishana mawazo japo hatufahamiani physically
 
Chai
 
Tuna tofautiana katika kutafsiri mafanikio kwangu kwanza nikupongeze lakini pia binafsi mafanikio yangu humu nipamoja na kupata mawazo mbadala na kubadilishana mawazo japo hatufahamiani physically
Ni kweli unaweza maliza siku nzima unapata madini kwa wadau...kuna watu wanatupa madini hadharani..tena kwa fujo....

unaweza ukakuta siku imeisha kwa kupitia tu nondo za wanazengo...!
 
Ila pia ni sample sio kama raia wengine kati ya watu 10 utakaouliza kama wanaijua JF nakuhakikishia below 4 watasema wanaijua....

Make the survey without bias utaniambia...
Mi circle yangu ya mtu kumi ni peke yangu tu ndo naijua jf
 
Uzi kama huu utashangaa Kuna I'd ina heshima zake itakuja kuulizia picha[emoji26]
Sasa mkuu, B3 si mradi wa lami kuanzia Bomba mbili huku ninapokaa mpaka ukonga... kwanini mtu asiulizie picha ya project!
 
Sasa mkuu, B3 si mradi wa lami kuanzia Bomba mbili huku ninapokaa mpaka ukonga... kwanini mtu asiulizie picha ya project!
Hahahah😄...... picha zinatoa utambulisho... wawekezaji hawataki kutambulika wewe au wao...watu wengi wenye pesa hawataki kutambulika wao au wale wanaohusiana kwa ujirani....

Ila ishia tu kuamini kuna kati ya vitu unavyo vishangaa hapa mjini vimefanywa na mwana JF ila in anonymous move...😄
 
yoga amesainiwa na nani DStv au Azam ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…