Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,637
- Thread starter
- #81
Hahaha...ila myapunguzie umafia...mtayaua maaana yanakujaga mazima mazima...hahahahMkuu hao mashangazi tuachieni wenyewe tunayapenda na yanatupenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha...ila myapunguzie umafia...mtayaua maaana yanakujaga mazima mazima...hahahahMkuu hao mashangazi tuachieni wenyewe tunayapenda na yanatupenda
🤣🤣🤣 Kuna limoja huku Lina cheo Cha kuchaguliwa na Sa100.Hahaha...ila myapunguzie umafia...mtayaua maaana yanakujaga mazima mazima...hahahah
Hahaha bila shaka umesha andaa mpango Kazi,...😄🤣🤣🤣 Kuna limoja huku Lina cheo Cha kuchaguliwa na Sa100.
Basi linavyonikubali Sasa 🤣🤣
Hizo kwa wenye akili ni project za kutoka kimaisha play smart nigger,..,😄🤣🤣🤣 Kuna limoja huku Lina cheo Cha kuchaguliwa na Sa100.
Basi linavyonikubali Sasa 🤣🤣
Haaa haaa zarau kwa walimu mkuu omba msamaha😄Kuna msela nilibishana nae hapa kuna uzi mmoja yule jamaa nataka nimwabie samahani pia niseme Asanteee lakini sikumbuki ID yake. Ilikuwa miaka 7 nyuma alitaja kazi na hela unayo pata nimekwenda kuifanya hio kazi sasa naimiliki haswaaa. Hela inayoingia kwa wiki mishahara ya walimu 10.
Bonus with Bonus!JF inafundisha,inapasha habari,inakukosoa,inakuelimisha na kuburudisha........... mengine yakitokea ni bonus
Nilazimaa, Kuna mambo yanateleza , ili nitaendelea kulipiga na ukuni hata kwenye 55 yrsHahaha bila shaka umesha andaa mpango Kazi,...😄
😄😄😄....ukuni ukoleze na ikiwezekana washa moto kabisa....Hadi akifika 60's hukoNilazimaa, Kuna mambo yanateleza , ili nitaendelea kulipiga na ukuni hata kwenye 55 yrs
Tuna tofautiana katika kutafsiri mafanikio kwangu kwanza nikupongeze lakini pia binafsi mafanikio yangu humu nipamoja na kupata mawazo mbadala na kubadilishana mawazo japo hatufahamiani physicallyJF nimejiunga miaka 12 ilopita.
Japo sionekani sana kwa sasa ila ni sababu ya JF yenyewe imesababisha haya. Kupitia jukwaa hili nimevuna nilicho panda kwa wanajamii wenzangu. Kupitia JF mimi nipo kama nilivyo sasa.
Napenda kusema Chochote nacho miliki,chochote nacho fanya na ajira yangu ya sasa ni JF. Kwa wale wasio fahamu huu ukweli napenda kuwasanua ni hivi JF inatembelewa na watu wakubwa sana na hata wale matajiri sana.
Unapo post kitu JF kama unapost kwa ajili ya maisha yako hakikisha unakijua na una hakika na unacho post.
JF imejaa wasomi na wengi wana pesa katika makabati wanahitaji mbongoz kupitia JF ili wawekeze.
Na usiogope kupata negative feed back za comments za wanazengo kwa post zako...kama tu unajua unacho present ni facts wewe post unacho kiamini.
Humu ndani kuna watu wa mataifa mbalimbali...wanachoangalia wao ni facts ya presentation na sio negative comments.
Mimi katika mafanikio yangu nimepata connection na simu nyingi kupitia post ambazo zina negative comments nyingi za wabogo ila wachina wakaona fursa. Hivyo unahitaji post moja tu kubadilisha maisha yako. Sijui ningekua nani bila JF.
Katika JF huhitaji Blue tick,wala huhitaji kulipwa,unacho hitaji kama JF kwako ni mtandao wa kukujengea maisha basi present strong mindset ya kile unacho fanya kama proffessional. Kuna watu kibao hapa wamejaa na wana pesa na hawajui watazipeleka wapi wanaangalia vichwa JF.
Kupitia JF unakutana na matajiri wanaweza kuwekeza hata B3 na wewe ukawa msimamizi sio kwasababu wanakujua sana ni sababu wameona kazi zako JF...
Ukisema B3 wengi hawajui kupitia JF nimesha simamia miradi ya bilioni 3...hahaaha
Kuna miradi mingi ya kifahari imejengwa na mwana JF kwa uaminifu wa mwana JF..
So JF is life....
JF nimejiunga miaka 12 ilopita.

Ni kweli unaweza maliza siku nzima unapata madini kwa wadau...kuna watu wanatupa madini hadharani..tena kwa fujo....Tuna tofautiana katika kutafsiri mafanikio kwangu kwanza nikupongeze lakini pia binafsi mafanikio yangu humu nipamoja na kupata mawazo mbadala na kubadilishana mawazo japo hatufahamiani physically
Mi circle yangu ya mtu kumi ni peke yangu tu ndo naijua jfIla pia ni sample sio kama raia wengine kati ya watu 10 utakaouliza kama wanaijua JF nakuhakikishia below 4 watasema wanaijua....
Make the survey without bias utaniambia...
Quality belong to few!Mi circle yangu ya mtu kumi ni peke yangu tu ndo naijua jf
Sasa mkuu, B3 si mradi wa lami kuanzia Bomba mbili huku ninapokaa mpaka ukonga... kwanini mtu asiulizie picha ya project!Uzi kama huu utashangaa Kuna I'd ina heshima zake itakuja kuulizia picha[emoji26]
Hahahah😄...... picha zinatoa utambulisho... wawekezaji hawataki kutambulika wewe au wao...watu wengi wenye pesa hawataki kutambulika wao au wale wanaohusiana kwa ujirani....Sasa mkuu, B3 si mradi wa lami kuanzia Bomba mbili huku ninapokaa mpaka ukonga... kwanini mtu asiulizie picha ya project!
yoga amesainiwa na nani DStv au Azam ?Mkuu mimi ni shuhuda wa hili ulisemalo.
Kupitia stori zangu nimesaini dili na watu wa SWAHILI FLIX ambalo naweza kusema angalau limenipa maisha.
Naamini kuna mambo makubwa sana yanakuja.
Naishukuru sana JF kwasababu bila wao pengine nisingeonekana na hao jamaa,Mungu ni mkubwa sana.