Matumizi ya E-mail kuchepuka

Matumizi ya E-mail kuchepuka

Shakuwa mtu mzima, watoto wako sio wadogo wa kusumbua, si namwachia Nyumba, akae hapo na wanae naenda tafuta mwanamke mwingine, kwani tunasumbuana basi?
Nikushauri acha kumpekua, binadamu ni complex, hachungiki....unaweza kumfatilia kumbe anatumia device ya mtu mwingine kufanya mawasiliano ovu...

Trust the universe, siku universe ikiamua kukutaarifu ujue....utajua hata Kama hujui PW ya simu yake, niamini.

Just be good....na mzani utabalance.
 
Mambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi.
Hii ni kutokana na uelewa mdogo baina ya wanandoa au wachumba juu ya matumizi ya email ha vivyo basi njia hii kuonekana ni salama zaidi.

Wanandoa na wachumba wanaoruhusu simu zao zitumiwe na wenzi wao, hawaweki password WhatsApp na sehemu nyingine zote. Umeshawahi kufungua sehemu ya email ambayo wengi huwa hawana habari nayo?

Michepuko wa sasa huelekezana jinsi ya kutumia email kukwepa ufichuzi wa wenza wao wasio na uelewa wa matumizi ya email.
Sasa umeamua kutoa Siri. Unawasanua shemeji zako au sio. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo yanabadilika sana ndugu. Sasa ivi kwa wenye ndoa na wachumba sugu hutumia email kustuana na na kupeana appointment za kunyanduana au kukutana lakini pia kutumiana picha na meseji za mapenzi.
Hii ni kutokana na uelewa mdogo baina ya wanandoa au wachumba juu ya matumizi ya email ha vivyo basi njia hii kuonekana ni salama zaidi.

Wanandoa na wachumba wanaoruhusu simu zao zitumiwe na wenzi wao, hawaweki password WhatsApp na sehemu nyingine zote. Umeshawahi kufungua sehemu ya email ambayo wengi huwa hawana habari nayo?

Michepuko wa sasa huelekezana jinsi ya kutumia email kukwepa ufichuzi wa wenza wao wasio na uelewa wa matumizi ya email.
Ukiwa mshamba basi hii njia utaona ya kijanja sana
 
Hajui, maana wananiteta sana na Mama yake, vibaya mno, mno, Mama anamwambia jitahidi basi unitumie hela, tafuta namna huyo mwanaume hawezi kukunyima, naona zote...

Naona text anatongozwa mpaka na ndugu zangu, naona mpaka wakati mwingine anawaambia watu wanaomtongoza, mimi nimerizika na mume wangu.

Naona vitu ambavyo angekua naona asingekuwa na amani kabisa, mengine ananitukana na ma best zake kiaina, etc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umetisha
 
Nakueleza, mimi hapa nilipo nikiwasha laptop, napata raman ya mji mzina na ninaona mke wangu yupo wapi kwenye google map, na hajui. Na miaka yangu 55 siachi gap, maana shemeji yenu mdogo sana.

Na ina sevu hizo route, nikitaka review tarehe 9 January alienda wapi na wapi, naona. Yani hata wawasiliane na makopo na bomba katikati, kushikwa atashikwa tu.
Program Gani hiyo. Toa utaalamu
 
Back
Top Bottom