Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Naunga mkono hoja, ugali hauna faida yeyote mkuu

Labda tuufanyie fortification, unga wa ugali uongezwa Iron, vitamins na madini mengine kadhaa. lasivyo, tunaangamia kama taifa.

Sijui kwa nini watu wa afya hawaoni hili.

Majirani zetu unga lazima uwe fortified na kuwekwa kwenye vifungashio vya karatasi na sio viroba
 
Swala sio ugali,swala n ugali na mboga gani?.
Ukila mboga yenye virutubisho vyote na matunda iyo effect manayosema ya ugali ni ndogo sana.
Kweli Mkuu. Tunakula portion kubwa sana ya ugali badala ya nyama kwa ugali tunakula ugali kwa nyama, badala ya kula kuku kwa chips tunakula zaidi chips kuku
 
Kwani wachina wanakula nini? Nasikia China ni nchi iliyopiga hatua kubwa kabisa ya maendeleo katika miaka hii 30
 
Naunga Mkono hoja ugali uwe chakula cha hamu tu na si chakula msingi πŸ˜€, twende sasa kwenye uzalishaji wa ngano na mchele uwezo wetu ukoje?
 
Mtasingizia kila kitu mpaka mtaanza kusema hatuna akili kwasababu tuna utajiri wa ardhi nzuri kwa kilimo. Ukweli ni kwamba hatujipangi, hatuthamini kazi na vipaji na hatujiamini na kujithamini pia
 
Hakika mkuu,leo imekuwa wazungu ushoga na usagaji ndio mtindo wa maisha,Sasa hapo akili ipo wapi? Yaani mtu mwenye akili kweli anaweza kuamini kuwa mwanaume kufanya sexual transplant ili awe Kama mwanamke ni sawa? Yaani na yeye atumike Kama mwanamke! Hivi jamani does it make sense kuwa anus itumike kufanya ngono, kweli njia ambayo purposely ni kwa ajili ya kutoa uchafu?
Kama matokeo ya akili za kula ngano kwa so called wazungu na westerners ndio hayo
Basi Bora mm niendelee kula Dona la mahindi mpk naingia kaburini aisee
 
Hili andiko ni kijembe kwa Daniel Chongolo, maana nae alivokuwa katibu mkuu wa ccm aliwahi kusema "Katiba mpya haikuletei kiroba cha ugali nyumbani kwako".
Alione kwenye nakala.
 
Unaweza weka mechanism of action ya ngank kwenye kuongeza akili, na mahindi kwenye kupunguza akili?
Viongozi wako wa serikali wauze migodi,bahari,mapori,mashamba etc nchi ibaki masikini uje usingizie umasikini umeletwa na mahindi?
 
Shida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansaπŸ˜‚πŸ˜‚?
Mwili una mechenism ya kubadilisha carbohydrate kua proteins,.......gluconeogenesis,.........kuandika sana si kua na maarifa,bado wewe ni mjinga
 
Ugali unadumaza akili
Cha kushangaza ndiyo unapikwa shuleni na gerezani
Unaweza weka research/andiko/case study/Trial yeyote ile inayoonesha ugali unadumaza akili?
 
Mwili una mechenism ya kubadilisha carbohydrate kua proteins,.......gluconeogenesis,.........kuandika sana si kua na maarifa,bado wewe ni mjinga

Unatia aibu kitu hukijui unaleta ujuaji, gluco ni kufipi cha neno glucose a simplest sugar form, mwili ina weza kubadili carbs kuwa fat au fats kuwa carbs, gluconeogenesis ni pathway ya kuproduce glucose na sio protein
 
ugali kama sembe tunao kula unatoshea nn? Kazi ya wanga ni kuupa mwili nguvu,
Sasa uga sembe ujajua una calories ngap per 100 gram? Ni dust
Maize flour is also high in antioxidants, iron, phosphorous, zinc, and various vitamins. It's considered good for eyesight and may help prevent cancer and anemia
Wheat flour contains slightly more fiber than corn, and most of it is in the bran section. Wholemeal wheat flour has more fiber than regular wheat flour, making it more filling.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…