Matumizi ya ngano yawe mbadala wa ugali Afrika Ili kuondoa Ujinga

Shida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚?
Ongezea sembe na hombo mlenda wa unga.au mtu anakula michembe na matobolwa hamna kitu hapo hayo yote ni mavyakula ya modification.tena sansa siielewagi imekaa kama nywele za mwigulu nchemba
 
Unamkuta mb Msuk.u..wm.a anakula ugali mkubwa shati kaweka pembeni anatiririka JASHO,

Unadhani Kuna Cha maana atachangia kikaoni?
Bora wa mwanza wanakula na visamaki samaki, wahapa nzega jau ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ugali hauongopi matokea yake hata humu yanaonekana. Ugali, wali mweupe, ngano nyeupe, unga wa Mchele hivi vyote matokeo yake ni same.
 
 
Mwenyezimungu atuepushie fikra potofu juu ya kile kinacho dhaniwa ni haki kumbe ni batwili ILIYO pitiliza ifike hatua Imani zirejee nyoyoni mwetu, kuliko kuwa fanya wazungu kama macrietor wa duni yupo yule aliye juu yao.
 
Ajabu sana, eti ngano leo ionekane ndio chanzo cha protein
 
Duh , umejidharau kupita kiasi, wazazi wako sijui wanajisikiaje kuwa na mtoto kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ