Qashy Lilith
JF-Expert Member
- Aug 30, 2024
- 1,508
- 2,965
Labda kama unatak Nile afu nalale😅......Jaribu uone, ngano isokobolewa( brown wheat).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda kama unatak Nile afu nalale😅......Jaribu uone, ngano isokobolewa( brown wheat).
Hata kama,Pwani wanaongoza kula wali ndiko wajinga wamejaa.
Tuendeleee kula tu ugali kwa kweli😅kama hali ndo hiiPwani wanaongoza kula wali ndiko wajinga wamejaa.
Kama ndo kula Kila siku wali na ugali wajinga wamejaa😅Hata kama,
Haipiti siku hajala ugali, mchana ugali, usiku wali.
Ongezea sembe na hombo mlenda wa unga.au mtu anakula michembe na matobolwa hamna kitu hapo hayo yote ni mavyakula ya modification.tena sansa siielewagi imekaa kama nywele za mwigulu nchembaShida ya ugali hauna protein, hata carbs content ni ndogo kwa sembe, sasa imagine mtu anakula ugali na sansa😂😂?
sansa zinamichanga sana😂Ongezea sembe na hombo mlenda wa unga.au mtu anakula michembe na matobolwa hamna kitu hapo hayo yote ni mavyakula ya modification.tena sansa siielewagi imekaa kama nywele za mwigulu nchemba
Majani ya kunde yalio anikwa juani yakakaukaSansa ndio mboga gani?
Never, na mada iko considered na brain power, ugali tunakula sana sana unga wa sembe hauna vitu vingiHivi lengo la ugali ni kusupply protein?
Michanga ni bad preparation na usimamizi mbovu wakati wa kukaushasansa zinamichanga sana😂
Bora wa mwanza wanakula na visamaki samaki, wahapa nzega jau 😂😂😂Unamkuta mb Msuk.u..wm.a anakula ugali mkubwa shati kaweka pembeni anatiririka JASHO,
Unadhani Kuna Cha maana atachangia kikaoni?
Salaam, Shalom!
Mtu alivyo ni matokeo ya chakula anachokula.
Ni Kweli waafrika tunapenda ugali, lakini ugali Hauna faida sana kiafya na kiakili kama ngano,
Sasa tusilalamike tena kusema wazungu Wana akili kutuzidi, tutafute kujua wanakula nini kama tutaukuta ugali.
NB: Ngano iwe brown wheat, isokobolewa, ukitaka ugali, pika ugali wa ngano isokobolewa.
Karne ya ishirini na Moja, Ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia, ulaji wa ugali Hauna nafasi zaidi ya kuongeza ukubwa tu wa miili bila msaada kwenye ubongo na akili.
Angalizo: Si Rahisi kiongozi utumie ngano isiyokobolewa kama chakula Kisha upate mawazo ya kutawala kimabavu Kwa wizi wa kura. Ugali ukomeshwe Africa.
Tanzania na Afrika stand up!!
Karibuni 🙏
Africa tupo kivyetu vyetu 😂😂😂 yani unakula ugali na mchunga, mboga ya kuchemsha na kumwaga maji then ichemshwe tena😂 ila africa jau sana
Brown wheat inapatikana wapi Tanzania hii?Ugali wa ngano upo na unaweza lika,
Ni ngano brown wheat.
Mwenyezimungu atuepushie fikra potofu juu ya kile kinacho dhaniwa ni haki kumbe ni batwili ILIYO pitiliza ifike hatua Imani zirejee nyoyoni mwetu, kuliko kuwa fanya wazungu kama macrietor wa duni yupo yule aliye juu yao.Hakika mkuu,leo imekuwa wazungu ushoga na usagaji ndio mtindo wa maisha,Sasa hapo akili ipo wapi? Yaani mtu mwenye akili kweli anaweza kuamini kuwa mwanaume kufanya sexual transplant ili awe Kama mwanamke ni sawa? Yaani na yeye atumike Kama mwanamke! Hivi jamani does it make sense kuwa anus itumike kufanya ngono, kweli njia ambayo purposely ni kwa ajili ya kutoa uchafu?
Kama matokeo ya akili za kula ngano kwa so called wazungu na westerners ndio hayo
Basi Bora mm niendelee kula Dona la mahindi mpk naingia kaburini aisee
Ajabu sana, eti ngano leo ionekane ndio chanzo cha proteinNi umasikini wetu tu, lakini ugali hauna tatizo lolote. Hata hivyo vyakula mnavyodhani vinavirutumisho, huwa vinaongezewa viwandani. kama mtengenezaji ana claim kuna Carb, sijui Vit kiasi fulani, mara nyingi zinaongezwa.
hata kwenye unga unaweza ongeza hizo vitamins au nutrients unazotaka ukala ugali wako ukawa sawa na aliye kula vyakula unavyodai vinaleta akili.
Sisi vyakula yetu vingi tuna kula organic au unprocessed food, hivyo havina hizo label za content lakini vina virutubisho vingi tu, tena kushinda hata hivyo mnavyosema.
Tuna kula samaki fresh, tuna kula mboga toka shambani, matunda toka mtini moja kwa moja, tunalima kizamani, na siyo indor farms kama wazungu. hivyo naamini vyakula vyetu laba useme havian muonekano mzuri, lakini nutrients ni za kumwaga.
Tanzania Food Nutrition Center(TFNC) wanaweza kukujuza haya yote unayodharau hapa. Mnajali Protein added Value label bila kujua hizo added value zinatoka wapi, siyo natura zinatengenezwa. Lakini zakwetu ni natural.
Unataka Carbs, kula ugali wa Mtama mwekundu, utazipata carbs za kutosha, Ukitaka protein kula samaki, Nyama au kunywa maziwa.
Sisi tunaakili na ugali wetu huu huu, sema kuna wachache wanatuangusha, wanakula mbegu zetu za asili, halafu wanapiga pesa wana taka kutuletea GMO's. Nyie mnawaita wanasiasa, wanatuletea minazi mifupi sijui ya wiki mbili, tunapokea. Miche ya maembe ya siku 10, tunapokea, sijui Michungwa ya siku 3 tunapokea, halafu mnakuja humu mnatunanga soote hatuna AKILI kwasababu tunakula ugali.
Hatutaki ngano, tunataka unga wa Muhogo,Mahindi, Mtama ,Uwele, au Ulezi, Ngano kuleni nyie mnaotaka Protein.
Duh , umejidharau kupita kiasi, wazazi wako sijui wanajisikiaje kuwa na mtoto kama weweJe na hawa black people wanaoishi Marekani wameathirika na ugali au kule Jamaica .
MTU mweusi hana akili sawa sawa hata akila wali nyama kila siku
This race is cursed .
Mambo ya ugali ni visingizio MTU mweusi duniani kote hana akili
Wachache ndo wanajitambua.
Wewe na familia yakoWaafrika tuliumbwa kwa akili kiduchu. Tusisingizie UGALI