Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

Kwa kweli na mm sina ila ningekuwa navyo ningetamba na shopping za maana maisha ni hayahaya..
Yeye mwenyewe anakwambia "You either get motivated or hate it"
Kwa kweli na mm sina ila ningekuwa navyo ningetamba na shopping za maana maisha ni hayahaya..
 
Floyd ana akili sana ya pesa ndio maana kila kukicha utajiri wake unazidi kuimarika.

Floyd ndiye mwanamichezo mwenye pesa nyingi zaidi kwa muda wote amemuacha mpaka Michael Jordan na hao akina Christian Ronaldo na Messi.
Takwimu za lini
Mayweather ana aprox usd 450 mil net worth,
Messi ana usd 600 mili
 
Floyd anaishi maisha ya kitajiri, anaonesha utajiri na ni tajiri.

Huyo CR7 wenu au Messi hawaingii hata robo ya utajiri wa Floyd
 
Floyd ana akili sana ya pesa ndio maana kila kukicha utajiri wake unazidi kuimarika.

Floyd ndiye mwanamichezo mwenye pesa nyingi zaidi kwa muda wote amemuacha mpaka Michael Jordan na hao akina Christian Ronaldo na Messi.
Mbona huna heshima na michael jordan?
 
Mungu asaidie aje na kwetu hapa Tanganyika ila kule Kwa wapumbavu Zanzibar asiemde kunanuka
 
Upo Dunia ya wapi wewe?

Messi hawezi hata robo kuukaribia utajiri wa Floyd.

Aanze kwanza na Michael Jordan ndipo afikirie kuhusu Floyd
Nafikiri wewe ndio ungejiuliza upo dunia ya ngapi.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…