Matumizi ya pesa aliyoyafanya Floyd Mayweather huko S.Africa ni balaa kuna uwezekano akatua bongo

Sema akilewa mkorofi, Ila sio mwizi, habari zake zipo hata kwa Google.
 
Sema akilewa mkorofi, Ila sio mwizi, habari zake zipo hata kwa Google.
Dogo ndo maana nimekwambia humjui Mashali .

Mashali hapendi kufanya kazi, yeye anachojua kwenda kwenye vituo vya daladala kukusanya pesa kinguvu KATAA sasa uone.

Na alivimba kichwa baada ya kumpiga Francis Cheka na kumpiga Dame wa sinza ndo akazidi kuwa mshenzi.
 
Simjui sawa, hata kujua habari zake au Nani na yupo, wapi au kuhusu yeye, nyie wa dar ndio mnawajua wasanii au watu maharufu, si wa mikoani tutakuja na magari ya kabich ili tuwajue kina mada mahugo.
 
Simjui sawa, hata kujua habari zake au Nani na yupo, wapi au kuhusu yeye, nyie wa dar ndio mnawajua wasanii au watu maharufu, si wa mikoani tutakuka na magari ya kabich ili tuwajue kina mada maugo.
Huyo Mada Maugo ndo mshamba kupitiliza .

Kazi yake kwenda bar kuchukua mademu za watu kinguvu siku akatolewa uvivu akachezea kichapo na mtaa akauona mchungu akakimbilia chanika.
 
Hao wanaimba wamesimama me hapo ningemchezea km wanenguaji wa akudo
Wanawake ni majasiri sana...kipindi cha kesi ya ya kina Ay dhidi ya kampuni ya Tigo, nilishuhudia Wakili mmoja mdada akiwa anajaribu bahati yake kwa Wakili wa wakina Ay...ila jamaa alivunga kama haja muona.
 
Uongoooooooooòooooooooooooooooo
 
Sasa hapa bongo ataenda kutumia wapi!? 😂🤣 bongo mna store ya gucci?😂
Hapo katumia bilion 17 tu kufanya shopping, yaani kasoro 3 ziwe zile alizodanganya Mo kawapa makolo, tutafute sana pesa aisee
 
Hapo katumia bilion 17 tu kufanya shopping, yaani kasoro 3 ziwe zile alizodanganya Mo kawapa makolo, tutafute sana pesa aisee
Nashindwa zitafuta saana pesa maana hata nilipozipotezea sipajui.
 
Hapo katumia bilion 17 tu kufanya shopping, yaani kasoro 3 ziwe zile alizodanganya Mo kawapa makolo, tutafute sana pesa aisee
17bilion in tzs or US 17B..?

KAMA NI 17B USD aisee ni hatare sanaa hiyo,ila pesa nimakaratasi tu kila siku zinakuwa printed so nothing impossible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…