Planet FSD
JF-Expert Member
- Oct 24, 2019
- 455
- 948
We should never accept mediocrity to be a way of lifeUna hasira sana... Ila yeye kaandika alicho kiona.. ulipaswa kuelezea tu uonavyo kuliko kumpa maneno yote hayo,mara mwehu, idiot!!!! Hatuwezi lingana kimtazamo....
Jaribu kusoma uelewe kabla ya kuanza kuandika. Redio kama chombo cha habari na burudani kimepitwa na wakati na ndio maana kibiashara vingi vinavyomilikiwa na watu binafsi vimeshaanza kupoteza mwelekeo na kufilisika.Hakika redio inabaki kuwa chombo muhimu cha mawasiliano Kwa mwanadamu,ubongo wako mdogo ndio unaweza kuweka bandiko kama hili kwamba dunia haiitaji tena huduma ya redio tena,ili kupata habari Kwa njia ya redio inahitaji redio na nguvu ya kuendesha redio,tofauti na mawasiliano mengine unayofikiri..ni mpuuzi Tu anayeweza kusema redio haina maana tena
Hizo zote zinaishi kwa hisani ya kodi. Kibiashara redio zimeshapitwa na wakati maana watu kwa sasa wanapata habari kwenye mitandao.
Aiseh karibu tule ugali dagaa.Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.
Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
hapo kwenye kupitwa na wakati ndio sikubaliani na wazembe kama nyinyi hata hizo simu unazodhani ndio muhimu zaidi kwa mawasiliano zina redio,hata mitandao inaweka redio,sasa analipuka mzembe wa kufikiri alafu tucheke naeJaribu kusoma uelewe kabla ya kuanza kuandika. Redio kama chombo cha habari na burudani kimepitwa na wakati na ndio maana kibiashara vingi vinavyomilikiwa na watu binafsi vimeshaanza kupoteza mwelekeo na kufilisika.
Hii haimaanishi kwamba redio hazina maana bali kilichopo wazi ni kwamba zimeshapatiwa alternative. Watu wanapata habari na burudani kwa njia nyingine hivyo redio zinaelekea kupotea kabisa isipokuwa zile zinazopewa fedha na serikali.
Mkuu ukisoma comment yangu juu nimeandika hiloHivi nchi zilizoendelea hakuna radio stations au ni ndgu yetu mleta uzi yuko mbele ya muda.
Ujuaji unatuponza mkuu, hata mi nimemshangaa sana jamaa.Mkuu ukisoma comment yangu juu nimeandika hilo
Kuna radio stations 600 [emoji636] na ninasikiliza kila siku kuanzia BBC mpaka miziki ya 60-70-80-90
Kuna Radio moja ya London unaitwa LBC hii kila siku naamka nayo
Ni mfumo kama huu wa JF ila kwa Radio yaani matukio yote yanayotokea nchini yanajadiliwa kwa kina na kila mmoja anaruhusiwa kuchangia kwa simu
Pia wanaalikwa mawaziri wakubwa wa police, madokta na yeyote ambae idara yake au wizara yake au biashara zake zitagusiwa
Ni Radio nzuri sana hii huwa naifananisha na jf ila huku matusi marufuku na unaongea facts tu uongo hakuna kama huyakuhusu sikuliza tu
Halafu kingine huku mfumo wa simu wa landlines bado upo sana kila mahali kuanzia maofisini, manyumbani na kila mahali ila asitokee mtu akasema landlines zimekufa nazo [emoji1]
Msameheni bure hakujua kuwa bado kuna [emoji343] na zitakuwepo sanaUjuaji unatuponza mkuu, hata mi nimemshangaa sana jamaa.
Huko USA wasanii wakubwa wanafanyiwa interview na radio stations, sasa yeye anasema eti bongo zimekufa kisa kukua kwa tech, sijui tech ipi kwa bongo hii ambayo hata hizi smartfphone tu mtu hajui apate vipi habari.
Ila tafiti bado zinaonyesha redio ndiyo bado chombo cha habari kinachotumiwa na wengi kwa habari hasa kwa hapa Tz. kwa sasaMwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.
Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
Nikiwaga maghetoni free huwa natulia na Capital Xtra au BBC 1xtra..nakula tu mapini..full blast yaani.Msameheni bure hakujua kuwa bado kuna [emoji343] na zitakuwepo sana
Hapa nasikiliza CapXTRA Reloaded
Halafu mtu anataka kuzifuta radio [emoji38] [emoji23]Nikiwaga maghetoni free huwa natulia na Capital Xtra au BBC 1xtra..nakula tu mapini..full blast yaani.
90 % ya wanaosikiliza redio ni watu wa mikoani angalia hata hao washindi wa kamari zao ni kutoka mikoaniMwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.
Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
90 % ya wanaosikiliza redio ni watu wa mikoani angalia hata hao washindi wa kamari zao ni kutoka mikoaniMwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.
Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
90 % ya wanaosikiliza redio ni watu wa mikoani angalia hata hao washindi wa kamari zao ni kutoka mikoaniMwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.
Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
Nyie vijana wa kuzaliwa miaka ya 2000+ mna matatizo sana. Mnaandika tu kila mnachokiwaza. You can't even do some research.Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.
Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.
Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.
Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
Hao unaowaita wa mkoani wana tofauti gani na wewe?90 % ya wanaosikiliza redio ni watu wa mikoani angalia hata hao washindi wa kamari zao ni kutoka mikoani
Unawezaje kusema haina maana kwa kuangalia tu mazingira yako wewe tu.Naona umeleta matusi na kuropoka lakini unatakiwa kufahamu kwamba teknolojia hiyo haina faida kwa sasa. Lazima ife natural death kwasababu hakuna fedha za kujiendesha.