Mkuu ukisoma comment yangu juu nimeandika hilo
Kuna radio stations 600 [emoji636] na ninasikiliza kila siku kuanzia BBC mpaka miziki ya 60-70-80-90
Kuna Radio moja ya London unaitwa LBC hii kila siku naamka nayo
Ni mfumo kama huu wa JF ila kwa Radio yaani matukio yote yanayotokea nchini yanajadiliwa kwa kina na kila mmoja anaruhusiwa kuchangia kwa simu
Pia wanaalikwa mawaziri wakubwa wa police, madokta na yeyote ambae idara yake au wizara yake au biashara zake zitagusiwa
Ni Radio nzuri sana hii huwa naifananisha na jf ila huku matusi marufuku na unaongea facts tu uongo hakuna kama huyakuhusu sikuliza tu
Halafu kingine huku mfumo wa simu wa landlines bado upo sana kila mahali kuanzia maofisini, manyumbani na kila mahali ila asitokee mtu akasema landlines zimekufa nazo [emoji1]