Matumizi ya redio kwa ajili ya habari na burudani yameshapitwa na wakati

Una hasira sana... Ila yeye kaandika alicho kiona.. ulipaswa kuelezea tu uonavyo kuliko kumpa maneno yote hayo,mara mwehu, idiot!!!! Hatuwezi lingana kimtazamo....
We should never accept mediocrity to be a way of life
 
Hakika redio inabaki kuwa chombo muhimu cha mawasiliano Kwa mwanadamu,ubongo wako mdogo ndio unaweza kuweka bandiko kama hili kwamba dunia haiitaji tena huduma ya redio tena,ili kupata habari Kwa njia ya redio inahitaji redio na nguvu ya kuendesha redio,tofauti na mawasiliano mengine unayofikiri..ni mpuuzi Tu anayeweza kusema redio haina maana tena
Jaribu kusoma uelewe kabla ya kuanza kuandika. Redio kama chombo cha habari na burudani kimepitwa na wakati na ndio maana kibiashara vingi vinavyomilikiwa na watu binafsi vimeshaanza kupoteza mwelekeo na kufilisika.

Hii haimaanishi kwamba redio hazina maana bali kilichopo wazi ni kwamba zimeshapatiwa alternative. Watu wanapata habari na burudani kwa njia nyingine hivyo redio zinaelekea kupotea kabisa isipokuwa zile zinazopewa fedha na serikali.
 
Hizo zote zinaishi kwa hisani ya kodi. Kibiashara redio zimeshapitwa na wakati maana watu kwa sasa wanapata habari kwenye mitandao.

Wajua tofauti ya ubora wa habari unazopokea kwa mitandao na unazopokea kutoka kwenye vyombo ya habari kama Radio, Magazeti, na TV?….
 
Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.

Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.

Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.

Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
Aiseh karibu tule ugali dagaa.
 
Jaribu kusoma uelewe kabla ya kuanza kuandika. Redio kama chombo cha habari na burudani kimepitwa na wakati na ndio maana kibiashara vingi vinavyomilikiwa na watu binafsi vimeshaanza kupoteza mwelekeo na kufilisika.

Hii haimaanishi kwamba redio hazina maana bali kilichopo wazi ni kwamba zimeshapatiwa alternative. Watu wanapata habari na burudani kwa njia nyingine hivyo redio zinaelekea kupotea kabisa isipokuwa zile zinazopewa fedha na serikali.
hapo kwenye kupitwa na wakati ndio sikubaliani na wazembe kama nyinyi hata hizo simu unazodhani ndio muhimu zaidi kwa mawasiliano zina redio,hata mitandao inaweka redio,sasa analipuka mzembe wa kufikiri alafu tucheke nae
 
Hivi nchi zilizoendelea hakuna radio stations au ni ndgu yetu mleta uzi yuko mbele ya muda.
 
Mkuu ukisoma comment yangu juu nimeandika hilo
Kuna radio stations 600 [emoji636] na ninasikiliza kila siku kuanzia BBC mpaka miziki ya 60-70-80-90

Kuna Radio moja ya London unaitwa LBC hii kila siku naamka nayo

Ni mfumo kama huu wa JF ila kwa Radio yaani matukio yote yanayotokea nchini yanajadiliwa kwa kina na kila mmoja anaruhusiwa kuchangia kwa simu
Pia wanaalikwa mawaziri wakubwa wa police, madokta na yeyote ambae idara yake au wizara yake au biashara zake zitagusiwa

Ni Radio nzuri sana hii huwa naifananisha na jf ila huku matusi marufuku na unaongea facts tu uongo hakuna kama huyakuhusu sikuliza tu

Halafu kingine huku mfumo wa simu wa landlines bado upo sana kila mahali kuanzia maofisini, manyumbani na kila mahali ila asitokee mtu akasema landlines zimekufa nazo [emoji1]
 
Ujuaji unatuponza mkuu, hata mi nimemshangaa sana jamaa.

Huko USA wasanii wakubwa wanafanyiwa interview na radio stations, sasa yeye anasema eti bongo zimekufa kisa kukua kwa tech, sijui tech ipi kwa bongo hii ambayo hata hizi smartfphone tu mtu hajui apate vipi habari.
 
Msameheni bure hakujua kuwa bado kuna [emoji343] na zitakuwepo sana
Hapa nasikiliza CapXTRA Reloaded
 
Matangazo kupitia tv bado yana nafasi kwa miaka mingi mbele ila radio na magazeti habari yao inaenda kwisha soon.
 
Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.

Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.

Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.

Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
Ila tafiti bado zinaonyesha redio ndiyo bado chombo cha habari kinachotumiwa na wengi kwa habari hasa kwa hapa Tz. kwa sasa

Wewe umefanya ubashiri tuu. Siku nyingine anza kwanza kupitia tafiti za kitalaamu zinasemaje.hisia tuu haitoshi.

Ila kwenye upande kama redio kwa wawekezahi zinawalipa au la hilo suala lingine
 
Nikiwaga maghetoni free huwa natulia na Capital Xtra au BBC 1xtra..nakula tu mapini..full blast yaani.
Halafu mtu anataka kuzifuta radio [emoji38] [emoji23]
Hapa nasikiliza Smooth, old songs [emoji444]
Kula raha baba
 
Mwishoni mwa miaka ya 1930s ndio redio zilianza kutumika na ilikuwa teknolojia maarufu sana wakati huo.

Wanasiasa kama Hitler na wengineo wakaitumia kueneza propaganda.

Kwa sasa redio hazina jipya, zimeshapoteza wafuasi. Hakuna mtu atakayefanya uwekezaji mpya kwasababu taarifa na burudani zinapatikana mitandaoni.

Nyingi zimejigeuza kuwa makampuni ya michezo ya kubahatisha hapa tz
90 % ya wanaosikiliza redio ni watu wa mikoani angalia hata hao washindi wa kamari zao ni kutoka mikoani
 
Nyie vijana wa kuzaliwa miaka ya 2000+ mna matatizo sana. Mnaandika tu kila mnachokiwaza. You can't even do some research.

Hivi umejaribu tutafuta data kutoka TCRA kuangalia idadi ya redio stations kwa mwaka 2022 na miaka kumi kabla ikoje?

Kwa taarifa yako, redio stations zinazidi kuongezeka na sio kupungua, na pia hizo stations zinaongeza uwezo wa kuajiri (nyingi zake).

Halafu kwa akili yako unadhani watu wa mjini hawasikilizi redio? Nikwambie, watu wa mjini wanaongoza kusikiliza vipindi vya redio, tena wengi wakiwa kwenye magari yao binafsi, bajaji au dalala wanasikiliza sana redio, hasa vipindi vya michezo na vya burudani ya mziki. Sasa wewe kumiliki tu simu janja unafikiri mambo yote yameishia hapo.

Siku nyingine, jifunze kufanya utafiti kwanza kabla hujaandika uzi.
 
90 % ya wanaosikiliza redio ni watu wa mikoani angalia hata hao washindi wa kamari zao ni kutoka mikoani
Hao unaowaita wa mkoani wana tofauti gani na wewe?
Hata hapo ulipo wasikiliza redio ni wengi sana, including you.
 
mleta uziapuuzwe tokea ajiunge humu anaandika mashudu tuu.hanaakili.
 
Naona umeleta matusi na kuropoka lakini unatakiwa kufahamu kwamba teknolojia hiyo haina faida kwa sasa. Lazima ife natural death kwasababu hakuna fedha za kujiendesha.
Unawezaje kusema haina maana kwa kuangalia tu mazingira yako wewe tu.

Hivi unaweza kuendesha gari huku unaangalia TV, ili kupata habari na burudani na michezo na mengineyo, unajua kuwa unaweza kufanya kazi ofisini au shambani huku unasikiliza redio, na kazi zikaenda vizuri, kuliko kufanya kazi huku unaangalia TV.

Unajua watu wengi, wakienda kulala wanapenda kutumia redi kupata habari burudani na michezo, kuliko kutumia kitu kichotoa mwanga kama TV. Hebu tembea Jiji la Dar, miji mingine mingine mikubwa siku Simba au Yanga wanacheza mechi zao, Uone watu wafuatilia mpira kuoitia Radio.
 
Back
Top Bottom