Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Uongoo-Asubuhi hakuna kula
-Mchana Mihogo ya Mia 7 na maji ya 300 jumla 1000
-Usiku tunahesabu mabati.
TOTAL KWA SIKU NI 1300 IKIZIDI SANA 1500/=
CCM MBELE KWA MBELE..!!
Asante.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uongoo-Asubuhi hakuna kula
-Mchana Mihogo ya Mia 7 na maji ya 300 jumla 1000
-Usiku tunahesabu mabati.
TOTAL KWA SIKU NI 1300 IKIZIDI SANA 1500/=
CCM MBELE KWA MBELE..!!
Asante.
😀umejuaje?.Upo kigoma?
Umekomaa apo mwananguMatumizi ya kawaida ni 10000 kila siku
Bundle najiunga la mwezi 30000
Kodi nalipa 70000
Umeme na taka jumla hufikia 17000
Huduma za king'amuzi 60,000
Matumizi mengineyo (watoto wa kike bata etc.) kila week ni 50000- 100,000 itategemeana.
[emoji24][emoji24]
Naishi mwenyewe. Natamani sana kuwa mbana matumizi ila kila siku zinavyozidi kwenda naona nazidi kuwa mtu wa hovyo.
Hii nyumba ya 80,000/= kigoma kwa dar ni laki na nusu mpaka laki 2, maana ni chumba sebule na choo ndani, full tiles.Daah mnaolipa kodi elf 80_70 mna raha sanaa.. nipo mkoa wa kitalii..
Kodi kwa mwezi nalipa 300k ingawa nahamisha kodi ya nyumba yangu ya Dar naweka huku.
Usafiri nafatwa na gari la ofisi hivyo nawez maliza wiki sijatoka na gari yangu.
Chakula kwa siku sina hesabu kamili maana nafanya shopping kila wiki.. hivyo sinunui chakula mgahawani (NAPIKA).
Gharama zingine ndg ndg kwa siku sizidi 4k.. hapo nimespend sana..
Note: SHOPPING ya 30k Kwa siku 7 nasurvive vzr kbs....
Savings inategemea ila ni 1m+ inayobak inaingia ktk maendeleo..
Nadhani ukinunua vitu kama unga, Mchele, dagaa, ukiwa na kifrigi cha kimtindo chakuwekea visamaki na vinyama utasevu sana tu....kila la kheryYeah kigoma mzee.
Salary pia ni kubwa.Daah mnaolipa kodi elf 80_70 mna raha sanaa.. nipo mkoa wa kitalii..
Kodi kwa mwezi nalipa 300k ingawa nahamisha kodi ya nyumba yangu ya Dar naweka huku.
Usafiri nafatwa na gari la ofisi hivyo nawez maliza wiki sijatoka na gari yangu.
Chakula kwa siku sina hesabu kamili maana nafanya shopping kila wiki.. hivyo sinunui chakula mgahawani (NAPIKA).
Gharama zingine ndg ndg kwa siku sizidi 4k.. hapo nimespend sana..
Note: SHOPPING ya 30k Kwa siku 7 nasurvive vzr kbs....
Savings inategemea ila ni 1m+ inayobak inaingia ktk maendeleo..
Kuna watu wanadharau hii biasharaSafi sana, ngoja nichukue hii japo nilitaka nifike milion 10 nifungue, duka la simu na vifaa vyake.
Kiasi... tuSalary pia ni kubwa.
Aisee hongeraMatumizi ya kawaida ni 10000 kila siku
Bundle najiunga la mwezi 30000
Kodi nalipa 70000
Umeme na taka jumla hufikia 17000
Huduma za king'amuzi 60,000
Matumizi mengineyo (watoto wa kike bata etc.) kila week ni 50000- 100,000 itategemeana.
😭😭
Naishi mwenyewe. Natamani sana kuwa mbana matumizi ila kila siku zinavyozidi kwenda naona nazidi kuwa mtu wa hovyo.
Wewe ni mnyonge subiria kwenda kuandamana tuu hukoKwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000 lazima nitumie, kwa hiyo kwa siku nzima natumia 8000/= vocha natumia 5000 kwa week japo week haifiki mwisho, kwa hiyo kwa siku lazima nitumie 10,000/=
Hapo sina familia, kwa mwezi natumia 300,000/= ...nyumba nakaa ya 80,000/= hapo sijapiga mahesabu ya zaka na sadaka na michango mingine ya kanisa na jumuiya, kwa hiyo kwa mwezi natumia 450K hata nijibane kivipi, kila mwezi kwenye account nabakiza kiasi cha laki moja kama akiba so tokea nimepata hiki kibarua nina akiba ya 1.5m kipato changu kwa mwezi ni laki tano tu,
Sina cha kujivunia sana kwa sababu sina plot ninayomiliki, wala asset yoyote ile, nachukia sana kwenda church Jumapili nakutana na watu wengi wakiendesha magari n.k najiona kama myonge sana lakini najipa matumaini tu kwamba ipo siku moja, Age bado sijafika 30, nina 26.
Wewe mdau matumizi yako kwa siku ni yapi? Shusha Nondo zako tupate kujifunza na sisi.
Katika mchanganuo wako wa matumizi wa mshahara wa mwezi ZAKA should be FIRST coz sio yako lakini wewe umeiweka OPTIONAL something is WRONG.Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000 lazima nitumie, kwa hiyo kwa siku nzima natumia 8000/= vocha natumia 5000 kwa week japo week haifiki mwisho, kwa hiyo kwa siku lazima nitumie 10,000/=
Hapo sina familia, kwa mwezi natumia 300,000/= ...nyumba nakaa ya 80,000/= hapo sijapiga mahesabu ya zaka na sadaka na michango mingine ya kanisa na jumuiya, kwa hiyo kwa mwezi natumia 450K hata nijibane kivipi, kila mwezi kwenye account nabakiza kiasi cha laki moja kama akiba so tokea nimepata hiki kibarua nina akiba ya 1.5m kipato changu kwa mwezi ni laki tano tu,
Sina cha kujivunia sana kwa sababu sina plot ninayomiliki, wala asset yoyote ile, nachukia sana kwenda church jumapili nakutana na watu wengi wakiendesha magari n.k najiona kama myonge sana lakini najipa matumaini tu kwamba hipo siku moja, Age bado sijafika 30, nina 26.
Wewe mdau matumizi yako kwa siku ni yapi? Shusha Nondo zako tupate kujifunz
hongera sana mTanzania wa kipato cha kati 🐒Kwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000 lazima nitumie, kwa hiyo kwa siku nzima natumia 8000/= vocha natumia 5000 kwa week japo week haifiki mwisho, kwa hiyo kwa siku lazima nitumie 10,000/=
Hapo sina familia, kwa mwezi natumia 300,000/= ...nyumba nakaa ya 80,000/= hapo sijapiga mahesabu ya zaka na sadaka na michango mingine ya kanisa na jumuiya, kwa hiyo kwa mwezi natumia 450K hata nijibane kivipi, kila mwezi kwenye account nabakiza kiasi cha laki moja kama akiba so tokea nimepata hiki kibarua nina akiba ya 1.5m kipato changu kwa mwezi ni laki tano tu,
Sina cha kujivunia sana kwa sababu sina plot ninayomiliki, wala asset yoyote ile, nachukia sana kwenda church Jumapili nakutana na watu wengi wakiendesha magari n.k najiona kama myonge sana lakini najipa matumaini tu kwamba ipo siku moja, Age bado sijafika 30, nina 26.
Wewe mdau matumizi yako kwa siku ni yapi? Shusha Nondo zako tupate kujifunza na sisi.
Una undugu na Mama Maria Nyerere? Umeandika kwa busara sana.Hongera Mkuu kuweza kujifanyia tathmini ya Kipato chako.
Vipato vingi Kwa Vijana wengi huwa vina range humo humo
Ili kubana Matumizi nashauri ungekuwa unapika japo chakula cha usiku ambacho ungekitumia kunywea Chai asubuhi hasa kama utapika Wali.
Kingine nashauri ungepunguza kiasi cha Sadaka. Maandiko yanasema toa kadri Mungu alivyokujalia.
Sisi Kanisani kwetu, tunakuwa na Sadaka zaidi ya 5 Kila Jumapili
Kama utatoa shilingi 2,000 Kila Sadaka ina maana itakata shilingi 10,000 Kwa Jumapili Moja na shilingi 40,000 Kwa Mwezi.
Nimeona hapo juu umesema una akiba ya 1.3M, ni vyema ufanye tathmini ili uanze kufanya biashara japo hata ya Banda la Chips ili kuongeza kipato.
Wahenga walisema "Mgagaa na upwa hali wali Mkavu''
"Ndondondo si chululu"
Pia Vijana wanasema "Mbuyu ulianza kama Mchicha "
Keep hustling 💪
Hongera ya nini?🤨🤨Aisee hongera
Kweli kabisa, ni Mungu sasa anipatie wa hivyo.Umejipanga vizuri, hujaweka anasa, hiyo akiba yako kwa mwezi izalishe kwa mbinu yoyote ile. Hebu tafuta mwenza mwenye malengo kama yako, mbadilishane mawazo namna ya kuzungusha pesa ili izae. Mkiwa na nidhamu ya pesa hata hao wenye magari mtawaona wa kawaida kwani mtakuwa na usafiri. Nasema mwenza kwani kidole kimoja hakivunji chawa.