Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

Sio kwa ubaya ila kwa mshahara wako sidhani kama unapaswa kubaki na hiyo, balance ni muhimu matumizi kuendana na kipato

Kwa jinsi unavyotumia ina maana kufanya manunuzi madogo ya mkupuo utakomba vijisenti vyote vya benki

Nakushauri kama ceiling yako ni 450k kwa mwezi, upo vyema ila jitahidi upunguze ili walau asilimia 35 mpaka 40 ya mshahara ibaki baada ya purukushani zote za mwezi

Kutegemea na mishe zako unaweza kupunguza kwenye bando, na extra kama hizo juisi za buku kila siku na mwisho wa siku kila senti ina hesabu yake, unaweza kuona hizo ndogo unazopunguza ni vijisenti

ila baada ya muda zinatosha hata kufanya vitu vidogo
 
Sio kwa ubaya ila kwa mshahara wako sidhani kama unapaswa kubaki na hiyo, balance ni muhimu matumizi kuendana na kipato

Kwa jinsi unavyotumia ina maana kufanya manunuzi madogo ya mkupuo utakomba vijisenti vyote vya benki

Nakushauri kama ceiling yako ni 450k kwa mwezi, upo vyema ila jitahidi upunguze ili walau asilimia 35 mpaka 40 ya mshahara ibaki baada ya purukushani zote za mwezi

Kutegemea na mishe zako unaweza kupunguza kwenye bando, na extra kama hizo juisi za buku kila siku na mwisho wa siku kila senti ina hesabu yake, unaweza kuona hizo ndogo unazopu guza ni vijisenti ila baada ya muda zinatosha hata kufanya vitu vidogo
Huu mwezi nitaanza kupika nione kama nitaweza kubalance laki 2 kwa mwezi.
 
Nimeishi Dar mzee, nimesoma Mugabe secondary japo nimezaliwa Morogoro, usijifanye mjuaji, nimeishi kwa kwa kipato cha laki 3, kabla sijaajiriwa, nimesoma hapo udsm miaka 3, nikamaliza nikabaki kupambana hapo mpaka nilipoajiriwa mwaka jana, kwa hiyo Dar sio kigezo cha matumizi makubwa.
Utakuwa ulikuwa unaishi mbagala wewe
 
Back
Top Bottom