ElsaAnna
Senior Member
- May 5, 2023
- 135
- 357
Yeah hapo sawalabda kama ana familia
geto la kuishi mwenyewe anapata chini ya hela hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hapo sawalabda kama ana familia
geto la kuishi mwenyewe anapata chini ya hela hiyo
Ahaaaa atakuwa uvinza huyu au masanga mjini kule mwangaaUpo kigoma?
Ni kweli mkuu Inflation ni kubwa kwenye kila kitu.Hapo sina familia, kwa mwezi natumia 300,000/= ...nyumba nakaa ya 80,000/= hapo sijapiga mahesabu ya zaka na sadaka na michango mingine ya kanisa na jumuiya, kwa hiyo kwa mwezi natumia 450K hata nijibane kivipi, kila mwezi kwenye account nabakiza kiasi cha laki moja kama akiba so tokea nimepata hiki kibarua nina akiba ya 1.5m kipato changu kwa mwezi ni laki tano
Sahihi mkuuHata siku ukilipwa milioni, kwa mwezi utatumia laki 8.
Mshahara hujawahi kutosha, jinsi unavyopata ndivyo jinsi unazidi spend, utaanza kula lunch ya 10000 kwa siku, nyumba 200000 kwa mwezi n.k..
Ile mindset mwezi ujao napokea, mwezi ujao napokea.. mwezi, mwaka,miaka mi 5, miaka 10 una familia, hapo matumizi yanaongezeka mara 5 yake, kama ni mnywa pombe ndio basi tena.
Ujumbe: mshahara hujawahi kutosha, mshahara unalemaza akili kama si mtu makini.
Suluhisho: Mradi nje ya kazi muhimu, fanya savings sana, epuka starehe.
🤣🤣🤣🤒Yeah kigoma mzee.
Robert Heriel Mtibeli anasema wewe ni masikini sio middle class 🤣🤣🤣Matumizi yangu kwa siku ni kama ifuatvyo;
1. Mafuta ya gari 30,000
2. Chakula cha nyumbani 30,000
3. Simu data 5000, Voice 1000
4. Chai na chakula cha mchana nikiwa kazini 15,000
5. Misaada kwa ndugu, jamaa na michepuko 100,000
6. Bia jioni 20,000 pamoja
7. Zawadi za watoto 10,000
Akiba kwa mwezi 4-6m.
Mtanzania wa Kiwango cha kati cha chini ( Lower middle income)
Dar kuna sehemu hata buku jero unakula wali nazi samaki nazi kisamvu nazi maharage nazi pembeni bisha nikupeleke ferry pale kwa mama Abdul Tagata, lkn pia kuna mahali lunch plate moja 48k-112k....Dar sio mahali pa kunaiga maisha la sivyo dole litakuhusu... na ukiwa mjanja unatusua kirahisi tu muhimu usikae sehemu itaku cost nauli daily.... shughuli zako za kila siku zisi tukie nauli...kaa krb na sehemu ya shughuli zako!!!Kigoma matumizi yote hayo?? Ungekuwa Dar ungeolewa. Review matumizi yako ni makubwa mno na isitoshe ww ni ticha
Ubaya ni kwamba sehem cheap kunakuw na implications nyingi.. Usalama mdg sana huku wauni wengi.. ni kheri ulipe kodi kubwa ukae sehem nzuri.usiusingizie mkoa wewe ndo umeamua kuishi hivyo
arusha sio ghali kiasi hicho
We si waziri wa kaskazini ndiyo maana.Kwa siku lazma laki 3 ikate na familia ya watu watatu...
NAKAZIA HAPA.Unyonge au utajiri unaujua wewe mwenyewe....
Kama Kipato chako = Matumizi yako yote bila kujinyima + Savings..., BASI wewe ni tajiri
Noma na nusu, Hapo ukiongezea na zile weekly kama bando na kinywaji iwe baridi au la, au zile monthly kama Luku, maji na visimbuzi si inavuka kabisa hapoKodi ya meza 5000(Hapo ndani vitu vipo)
Wese la 10000
Chai 1500
Maji 1000
Chakula mchana 3000
Jumla Elfu 21,500/= kwa siku. 🚶🚶😭😭
Sijajua kwa wengine kutegemea na mishe zao zilipo, ila kwa Town kama Dar unaweza kuta kama kazi yako iko mjini kukaa karibu kunakugharimu zaidi kuliko kukaa mbaliDar kuna sehemu hata buku jero unakula wali nazi samaki nazi kisamvu nazi maharage nazi pembeni bisha nikupeleke ferry pale kwa mama Abdul Tagata, lkn pia kuna mahali lunch plate moja 48k-112k....Dar sio mahali pa kunaiga maisha la sivyo dole litakuhusu... na ukiwa mjanja unatusua kirahisi tu muhimu usikae sehemu itaku cost nauli daily.... shughuli zako za kila siku zisi tukie nauli...kaa krb na sehemu ya shughuli zako!!!
Juice ya 1000 ni uji auKwenda kazini natumia nauli ya 2000, kwenda 1000 kurudi 1000, asubuhi haiwezi kuzidi 1000 chai na harakati zingine, mchana hapa napiga sahani ya wali na nyama/dagaa/migebuka daily, ni 2000 nashushia na juice ya buku, kwa hiyo mchana jumla ni 3000, usiku ratiba yake ni kama mchana tu, 3000 lazima nitumie, kwa hiyo kwa siku nzima natumia 8000/= vocha natumia 5000 kwa week japo week haifiki mwisho, kwa hiyo kwa siku lazima nitumie 10,000/=
Hapo sina familia, kwa mwezi natumia 300,000/= ...nyumba nakaa ya 80,000/= hapo sijapiga mahesabu ya zaka na sadaka na michango mingine ya kanisa na jumuiya, kwa hiyo kwa mwezi natumia 450K hata nijibane kivipi, kila mwezi kwenye account nabakiza kiasi cha laki moja kama akiba so tokea nimepata hiki kibarua nina akiba ya 1.5m kipato changu kwa mwezi ni laki tano tu,
Sina cha kujivunia sana kwa sababu sina plot ninayomiliki, wala asset yoyote ile, nachukia sana kwenda church Jumapili nakutana na watu wengi wakiendesha magari n.k najiona kama myonge sana lakini najipa matumaini tu kwamba ipo siku moja, Age bado sijafika 30, nina 26.
Wewe mdau matumizi yako kwa siku ni yapi? Shusha Nondo zako tupate kujifunza na sisi.
Mkuu natumia hela nyingi sanaNoma na nusu, Hapo ukiongezea na zile weekly kama bando na kinywaji iwe baridi au la, au zile monthly kama Luku, maji na visimbuzi si inavuka kabisa hapo