Matumizi yako kwa siku ni sh. ngapi? Je, niko vizuri au mimi ni mwananchi mnyonge?

Daah mnaolipa kodi elf 80_70 mna raha sanaa.. nipo mkoa wa kitalii..

Kodi kwa mwezi nalipa 300k ingawa nahamisha kodi ya nyumba yangu ya Dar naweka huku.

Usafiri nafatwa na gari la ofisi hivyo nawez maliza wiki sijatoka na gari yangu.

Chakula kwa siku sina hesabu kamili maana nafanya shopping kila wiki.. hivyo sinunui chakula mgahawani (NAPIKA).

Gharama zingine ndg ndg kwa siku sizidi 4k.. hapo nimespend sana..

Note: SHOPPING ya 30k Kwa siku 7 nasurvive vzr kbs....

Savings inategemea ila ni 1m+ inayobak inaingia ktk maendeleo..
 
Umekomaa apo mwanangu
 
Hii nyumba ya 80,000/= kigoma kwa dar ni laki na nusu mpaka laki 2, maana ni chumba sebule na choo ndani, full tiles.
 
Salary pia ni kubwa.
 
Safi sana, ngoja nichukue hii japo nilitaka nifike milion 10 nifungue, duka la simu na vifaa vyake.
Kuna watu wanadharau hii biashara

Miaka fulani niliwafungulia Vijana 2 vibanda vya chips

Walikuwa wananiletea Kila Siku shilingi 18,000 Kila mmoja.

Maana yake nilikuwa napata shilingi 36,000 Kwa Siku.

Kwa Mwezi nilikuwa napata laki 9 kwenye Chips.

Haya maisha mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe mwenyewe.

Kubali kuamua sasa
 
Aisee hongera
 
Umejipanga vizuri, hujaweka anasa, hiyo akiba yako kwa mwezi izalishe kwa mbinu yoyote ile. Hebu tafuta mwenza mwenye malengo kama yako, mbadilishane mawazo namna ya kuzungusha pesa ili izae. Mkiwa na nidhamu ya pesa hata hao wenye magari mtawaona wa kawaida kwani mtakuwa na usafiri. Nasema mwenza kwani kidole kimoja hakivunji chawa.
 
Wewe ni mnyonge subiria kwenda kuandamana tuu huko
 
Katika mchanganuo wako wa matumizi wa mshahara wa mwezi ZAKA should be FIRST coz sio yako lakini wewe umeiweka OPTIONAL something is WRONG.

Naona pia una matumizi makubwa sana ya pesa na hapo hujaoa bado instead kuna watu wanafamilia wanalipwa mshahara huo wanatoa ZAKA na kuhudumia familia VERY SAD for you

Sijajua muda wa masaa yako ya kazi lakini if possible hubanwi sana tafuta kajibarua pembeni kakuingiza hata 5000 itakusaidia Kingine kwa kuwa ndio unajipanga kimaisha sijaona haja ya kuishi sehemu unalipa 80000 too high at least 50000 ingekufaa, Acha uvivu usiku pika na mchana sio lazima utumie 3000 hata buku mara moja moja yani inshort SAVE MONEY THE WAY YOU CAN FOR YOUR FUTURE EXPENSES

Kwenye camera yangu naona pia unabeti Acha hio tabia utafilisika na kazi utapoteza tafuta ela kwa njia halali bado una nguvu wewe nakupiga na kofi PAAAH

Ni hayo tu mengine utajua mwenyewe ufanye business au kiwanja kwanza utajua na Usioe kabla ya hivyo vitu viwili Business/Plot.
 
hongera sana mTanzania wa kipato cha kati 🐒
 
Una undugu na Mama Maria Nyerere? Umeandika kwa busara sana.
 
Kweli kabisa, ni Mungu sasa anipatie wa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…