Toa hiyo elfu 80000 ya wazazi peleka kwenye mahitaji mengine ya msingi km vile mawasiliano,usafiri kwa mke,dharura aidha michango n.k...Inshu ya ada kaweka wastani kwa watoto wawili.......Hiyo nayo ipeleke labda kwenye kununua mavazi ya familia na mahitaji mengine ya msingi ambayo kayaachaAcha kupeleka pesa kwa wazazi, ukifa waonwatakua beneficiaries 1/3 ya mali zako,
Ila watembelee.
Kuhusu pesa unayopata iko poa kabisa ndugu,.
Hulipi ada kila mwezi hyo ya 330k.
Hivo unabserving ya kutosha.
Endelea kusave, hakikisha una bima za afya na bima za maisha.
Hakikisha una invest kwenye shughuli kadhaa, sijui utt, sanlam, au ujenzi wa nyumba na maduka.
Usiwaze maisha yako tena waza maisha ya familia yako.
Otherwise, have a good luck my brother