Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipato ni 1.3Mbona hujaweka na mengineyo? Maana hivyo vitu vyote ni vya lazima kila mwezi kwa mujibu wako..
Vitu kama maji, vocha, n.k. Ni lazima utatumia pesa kwenye mambo mengine ukiacha hayo uliyoyaorodhesha. Au huweki bando mzee?
Hiyo huwa nampa wife 15k kwa siku. Najua hatumii yote. Na sitak itumike yote. Ibaki kiasi kwa ajili yake mwenyewe.. sibani sana kwenye matumizi yake, kuna vitu vizuri na yy km mtt wa kike akipenda anunueHapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Sijui. Yote nampa wife... yy anajua. Ikibaki ni vocha yakeUnge breakdown hiyo 15 inaenda vipi kwenye msosi kutoka asubuhi hadi usiku.
-Breakfast
-Lunch
-Dinner
Hahaha, badala ya kumshauri aongeze kipato mnataka apunguze tena matumizi?Jaribu kupunguza Ada za watoto mzee.
Hutafanya kitu kwa mwaka. Angalia yafuatayo kama ni muhimu pia
1.Sadaka
2.Nguo kwa familia nzima hasa wife na watoto.
3.Kujipa starehe wewe mtafutaji.(Pombe kidogo)
4.Huchepuki bro.. (Sio lazima)
Ukiona hivyo kashindwa kuongeza mapatoHahaha, badala ya kumshauri aongeze kipato mnataka apunguze tena matumizi?
Abadilishe mindset, maana mpaka aandike budget yake ujue hajaridhishwa na hicho kipato.Ukiona hivyo kashindwa kuongeza mapato
Hapa ndipo unapofeli. Mtoto wa kike yupo kwa wazazi wake.Hiyo huwa nampa wife 15k kwa siku. Najua hatumii yote. Na sitak itumike yote. Ibaki kiasi kwa ajili yake mwenyewe.. sibani sana kwenye matumizi yake, kuna vitu vizuri na yy km mtt wa kike akipenda anunue
Hapo ame skip matumizi mengi tu mfano nguo, entertainment.Sijajua umri wako, ila roughly utakuwa unacheza kwenye 35-45s
Ni hatari sana Kwa umri huo kukosa kuweka akiba
Kama mna nyumba kubwa, hao Wazee walete uishi nao hapo kwako, then hiyo 80,000 unayotuma ifanye akiba.
Pia anza kulipia kifurushi cha 28,000 Azam badala ya hiyo 35,000
Hujaweka matumizi yako ya simu pia/Bando n.k
Anza kufikiria kuhusu ujasiriamali binafsi, huo mshahara hautoshi brother
Haaahaa 😂Pombe ya baba je?
Ni kweliHapo ame skip matumizi mengi tu mfano nguo, entertainment.
Akiweka zote hapo itasoma negative!
Kalagabaho.
MSONDO NGOMA music band🎶Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m.
Mboga kwa wastani ni 10kHapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Sijui. Yote nampa wife... yy anajua. Ikibaki ni vocha yake
bana matumizi broo unaishi sana! au umeridhika!? kumbuka kuna ku retire mshuaNna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
Ila ni muhimu kujua, itakusaidia kufahamu wapi pakuboresha, pia itakupa mzuka wakupandisha hadhi familia yako, maana ukijua matumizi na kipato chako kwa mwezi ujue ndo thamani ya familia yako.....Mqisha yamekuwa ghali sana, binafsi sitaki hata kujua natumiaje. Ninachojua my family has three meals, kids go to school, they dress well and enjoy life. Sitaki kujipa stress...
Kwann? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Toa watoto English medium rudisha kidumu na mfagio