Matumizi yangu ya mwezi

Matumizi yangu ya mwezi

Mbona hujaweka na mengineyo? Maana hivyo vitu vyote ni vya lazima kila mwezi kwa mujibu wako..

Vitu kama maji, vocha, n.k. Ni lazima utatumia pesa kwenye mambo mengine ukiacha hayo uliyoyaorodhesha. Au huweki bando mzee?
Kipato ni 1.3
Matumizi ni 1.1
Inauyobaki ndo mengineyo. 200k
 
Hapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Hiyo huwa nampa wife 15k kwa siku. Najua hatumii yote. Na sitak itumike yote. Ibaki kiasi kwa ajili yake mwenyewe.. sibani sana kwenye matumizi yake, kuna vitu vizuri na yy km mtt wa kike akipenda anunue
 
Familia yangu tupo watano (mimi, ubavu wangu, na watoto watatu.) Nina malengo ifikapo 2030 kuanzia sasa niwe na matumizi yafuatayo

1. Kula na mahitaji mengine (siku 300,000/=) 9,00,000,000/=
2. TV Azam/vocha 2,000,000/=
3. Umeme/gesi 2,000,000/=
4. Maji 2,000,000/=
5. Wakwe 5,000,000/=
6. Mama. 5,000,000/=
7. Ubavu wangu kwa mwezi 15,000,000/=
8. Mimi kwa mwezi 45,000,000/=
9. Ada na mafunzo mengine mwz 2,000,000/=
10. Burudani familia (kwa wiki 2,500,000/=) mwezi 10,000,000/=
11. Ku save bank mwezi 10,000,000/=
12. kuwekeza kila mwezi 10,000,000/=
Total 122,000,000/=

Hapo natakiwa kila siku nipate 4,066,667/=

Kwa sasa hivi nipo moja ya tano ya hayo matumizi.
 
Jaribu kupunguza Ada za watoto mzee.
Hutafanya kitu kwa mwaka. Angalia yafuatayo kama ni muhimu pia

1.Sadaka
2.Nguo kwa familia nzima hasa wife na watoto.
3.Kujipa starehe wewe mtafutaji.(Pombe kidogo)
4.Huchepuki bro.. (Sio lazima)
Hahaha, badala ya kumshauri aongeze kipato mnataka apunguze tena matumizi?
 
Hiyo huwa nampa wife 15k kwa siku. Najua hatumii yote. Na sitak itumike yote. Ibaki kiasi kwa ajili yake mwenyewe.. sibani sana kwenye matumizi yake, kuna vitu vizuri na yy km mtt wa kike akipenda anunue
Hapa ndipo unapofeli. Mtoto wa kike yupo kwa wazazi wake.
Mpaka amefika kwako sio mtoto tena.
Muwezeshe mpunguze makali ya maisha. Unless otherwise baada ya 10 yrs utakua hujafanya lolote.
 
Sijajua umri wako, ila roughly utakuwa unacheza kwenye 35-45s

Ni hatari sana Kwa umri huo kukosa kuweka akiba

Kama mna nyumba kubwa, hao Wazee walete uishi nao hapo kwako, then hiyo 80,000 unayotuma ifanye akiba.

Pia anza kulipia kifurushi cha 28,000 Azam badala ya hiyo 35,000

Hujaweka matumizi yako ya simu pia/Bando n.k

Anza kufikiria kuhusu ujasiriamali binafsi, huo mshahara hautoshi brother
Hapo ame skip matumizi mengi tu mfano nguo, entertainment.
Akiweka zote hapo itasoma negative!
Kalagabaho.
 
Hapo ame skip matumizi mengi tu mfano nguo, entertainment.
Akiweka zote hapo itasoma negative!
Kalagabaho.
Ni kweli

Japo najua ameandika hii mada kwaajili ya kutufungua masikio tu walau tupate ya kujifunza

Maisha yetu Wabongo wengi ni changamoto, kipato hakitoshi wakati huo huo tunakuwa na lundo la ndugu wanaohitaji sapoti yetu

Tuendelee kupambana tu
 
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m.
MSONDO NGOMA music band🎶
Wanaume TUMEUMBWA MATESO kuhangaika.
 
Hapo kinachokuumiza zaid ni ada za watoto...... Pia kwenye chakula hapo hauna dicpline sana 450,000 ni pesa nying sana kwa kula tu ndani ya mwezi mmoja......... Jaribu kununua vitu vya jumla kam unga kg25, mchele kg20, mafta ya kula lt5, maharage kilo10, dagaa kg3, sukar kg5, ukipiga hesabu hapo haifik hata 200,000
Mboga kwa wastani ni 10k
Hapo
Mf. Nyama,maini, sato,sangara, kuku, what else?

Maisha yamekua gharama zaidi kila mahali
 
Nna familia ya watu wazima 3, (mimi, wife, beki 3 na watoto 2)
Kula 15,000/siku - 450,000
Tv azam 35,000
Umeme 30,000
Maji dawasco 15000
Beki 3 - 50,000
Wazazi 80,000
Nauli job 4000/siku - 120,000
Ada 4m/mwaka = 330,000/mwezi
Silipi kodi
Total 1.1m
Income 1.3m
bana matumizi broo unaishi sana! au umeridhika!? kumbuka kuna ku retire mshua
 
Mqisha yamekuwa ghali sana, binafsi sitaki hata kujua natumiaje. Ninachojua my family has three meals, kids go to school, they dress well and enjoy life. Sitaki kujipa stress...
 
Mqisha yamekuwa ghali sana, binafsi sitaki hata kujua natumiaje. Ninachojua my family has three meals, kids go to school, they dress well and enjoy life. Sitaki kujipa stress...
Ila ni muhimu kujua, itakusaidia kufahamu wapi pakuboresha, pia itakupa mzuka wakupandisha hadhi familia yako, maana ukijua matumizi na kipato chako kwa mwezi ujue ndo thamani ya familia yako.....
 
Back
Top Bottom