Mauaji Afrika Kusini: Amuua mwenzake, amkata Kichwa na kula viungo vya ndani sehemu ya tumbo

Futa picha Moderator
 
Unakumbuka lile tukio la zamani
Lilitokea dar,jamaa alimua dem wake akamkatakata na kumuweka kwenye begi...alimkatakata vipande
Wabongo wenyewe ukingia 18 yao
Unakutana na style hii

Ova
Kuna ingine ilitokea kwetu, mtu alimuua mke wake na kutafuna ini na mapafu.

Watu wana roho mbaya sana, [emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kuna ingine ilitokea kwetu, mtu alimuua mke wake na kutafuna ini na mapafu.

Watu wana roho mbaya sana, [emoji24][emoji24][emoji24]
Kuna vurugu ilitokeaga kilosa miaka fulani vita ya wakulima na wafugaji
Watu walichinjana sana ,walitenganishana mpaka viwiliwili,mikono mguu
Na tulishuudia machafuko yale....
Watu tulikimbilia milima ya lumbiji
Tukala chocho tukatokea gairo kukwepa machafuko
WABONGO NAO MAKATILI KIKINUKA
NDIYO UTAWAJUWA WALIVYO

ova
 
Hao wakulima walikata miguu mifugo ikiwa hai, matukio ni mengi ila south wamezidi
 
Binadamu wanauana kila mahali duniani.Sema taarifa huwezi kuzisikia zote.utapata za south zaid ndo maana unaona hivyo.ila binadamu ni wakatili kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha mwaka2017 au 2018 huko huko Kilosa Maasai alimchoma mkulima mkuki mdomoni ukatokea shingoni. Lile tukio kila nikilikumbuka nashindwa kumuelewa binadamu.

Cha kushukuru jamaa alipona, hivi unajua ile picha ya mhanga haijawahi kunitoka akilini ukizingatia nilimuona physically aisee acha tu kuna watu wana roho zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…