Hili ndio kosa kubwa walilo lifanya.Kwenye katiba Yao waliondoa adhabu ya kifo baada ya Mandela kuwa raisi wao,Maisha wakati wa Ubaguzi wa rangi ni kuwa walikuwa wanauwana sana wenyewe kwa wenyewe...na mpaka Leo Askari police kuuwawa na raia ni kitu Cha kawaida (asakari akimzinguwa mtuhumiwa tu basi Maisha yake yapo mashakani).
Kuna muda nikahisi huenda huyu mdau alituma watu kwenda kufanya mauaji, na si mmoja, yeye Muhusika mkuu, akaenda kupiga picha tu kama hivyo.Ninachojiuliza utumbo utoke nje na jamaa hajalowa damu hata chembe inawezekanaje hii?
Yaani kwa matukio ya wakati ule[emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha mwaka2017 au 2018 huko huko Kilosa Maasai alimchoma mkulima mkuki mdomoni ukatokea shingoni. Lile tukio kila nikilikumbuka nashindwa kumuelewa binadamu.
Cha kushukuru jamaa alipona, hivi unajua ile picha ya mhanga haijawahi kunitoka akilini ukizingatia nilimuona physically aisee acha tu kuna watu wana roho zao
Arusha uongomvi wa visu hawajaanza leoNa Vijana wa Arusha nao siku hizi wanajifanya wana rohoo za ki South za kupigana visu kwa visa vya kipumbavu tu!!
jiite Bitoz wa Kolelo, username Mzimu haikufai.Hizoi PICHA zinatisha futa bana
Kwanza hata hukumu zao nyepesi muuaji anapewa Miaka yake 15 anapoaInaonekana serikali ya South ina wadekeza wahalifu.
Nasikia huko South, kesi ya mauaji ina mdhamana, na kiwango cha pesa ya udhamini ni ndogo sana, kwanini watu wasiuane ?
Kuna matatizo huwa rahisi sana kuyaondoa, kama haya ya mauaji na watu kuuana. Ni kwamba akiua mtu akapatikana na hatia na yeye anauliwa hakuna stori za mawakili wala hiki Wala kile.
Nilitoa angalizo lakini mapema
hii habari bila picha isingenoga
Acheni kutapeli mtakufa kama uyooooo
Subhuman specie , hawa wazulu wengi ni subhumans
Sijui ila watu wanajifanya wajanja sana unafanya nae kazi yeye anasepa na mzigo we unazani kitatokea nnMarehemu ni tapeli