Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

Mhe. RC utaratibu mzuri ni pamoja na kuzuia watu wanaoweza kuingia kwenye geti la kutokea kama unavyodai kuwa watu walivamia mkutano kutokea nje. Kama hilo halikufanyika, unawezaje kuita ni utaratibu mzuri?
 
Unahitaji uwezo wa kiroho kumuelewa mama Mghwira...... Vinginevyo utaendelea kukariri bwashee!
 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
[emoji117][emoji117][emoji117]it doesn't make sense!
Jr[emoji769]
 
Kwanini haimake sense bwashee?!
 
Hii nilijua kabla
Mwamposa ni rafiki mkubwa na Mkulu na ndio maana kule Mwenge kiwanja alipewa na serikali
 
Mwenyekiti Wa Kamati ya ulinzi na usalama ,Mama Anna Mghirwa , sawa tumesikia

Pole kwa wafiwa
 
Mwambosa huwa anatembea na makamera pamoja na madrone, tuoneshwe hao vibaka waliovamia ibada.
 
Mkulu ame "sipoti" kwa kuwa limetokea MOSHI
 
Unahitaji uwezo wa kiroho kumuelewa mama Mghwira...... Vinginevyo utaendelea kukariri bwashee!
Mkuu wewe ndo RC au mwandishi wake binafsi? Mwambie ajipange vizuri ili aelekewe kwa wote hata wasio wa "kiroho"
 
Watu walitaman sana Mwamposa awajibishwe.. Jambo ambalo ni gumu!
Jamaa hana kesi ya kujibu, yeye hakuwatuma wakanyagane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadaye mtasema wahuni walivamia mageti ili waibe mafuta.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…