Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unahitaji uwezo wa kiroho kumuelewa mama Mghwira...... Vinginevyo utaendelea kukariri bwashee!Mhe. RC utaratibu mzuri ni pamoja na kuzuia watu wanaoweza kuingia kwenye geti la kutokea kama unavyodai kuwa watu walivamia mkutano kutokea nje. Kama hilo halikufanyika, unawezaje kuita ni utaratibu mzuri?
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira amesema vijana hao hawaeleweki walikuwa wanaingia uwanjani kufanya nini kwani ibada ilishamalizika, yawezekana walikuwa vibaka.
Mkuu wa mkoa amewataka vijana hao wasiofahamika hadi sasa kutubu mbele za Mungu kwani dhambi waliyoitenda ni mbaya sana.
Mama Mghwira amesema Huduma za kiimani zitaendelea kama kawaida na kwamba mikutano ya Injili kuanzia sasa itaratibiwa kwa makini na ameomba kukutana na viongozi wote wa dini mkoani humo.
Mama Mghwira amesema aliongea na Rais Magufuli leo asubuhi na kwamba Rais alimtaka kutositisha shughuli za kidini bali waweke utaratibu mzuri wa kuzimonitor.
Source: TBC
Kwanini haimake sense bwashee?!Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
[emoji117][emoji117][emoji117]it doesn't make sense!
Jr[emoji769]
nauza mafuta ya alizeti.Bwashee mbona umeshtuka sana?!
Wewe hapo Moshi una shughuli gani rasmi?!!!
Kwahiyo mko kwenye ushindani na mafuta ya Bulldozzer?!.......ukataka na ya kwako wayakanyage kwa " lazima"?nauza mafuta ya alizeti.
Kwanini haimake sense bwashee?!
Mwambosa huwa anatembea na makamera pamoja na madrone, tuoneshwe hao vibaka waliovamia ibada.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana.
Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira amesema vijana hao hawaeleweki walikuwa wanaingia uwanjani kufanya nini kwani ibada ilishamalizika, yawezekana walikuwa vibaka.
Mkuu wa mkoa amewataka vijana hao wasiofahamika hadi sasa kutubu mbele za Mungu kwani dhambi waliyoitenda ni mbaya sana.
Mama Mghwira amesema Huduma za kiimani zitaendelea kama kawaida na kwamba mikutano ya Injili kuanzia sasa itaratibiwa kwa makini na ameomba kukutana na viongozi wote wa dini mkoani humo.
Mama Mghwira amesema aliongea na Rais Magufuli leo asubuhi na kwamba Rais alimtaka kutositisha shughuli za kidini bali waweke utaratibu mzuri wa kuzimonitor.
Source: TBC
Wa kimitishamba!........sawa bwashee.Ni mtazamo wangu
Jr[emoji769]
Mkuu wewe ndo RC au mwandishi wake binafsi? Mwambie ajipange vizuri ili aelekewe kwa wote hata wasio wa "kiroho"Unahitaji uwezo wa kiroho kumuelewa mama Mghwira...... Vinginevyo utaendelea kukariri bwashee!
Wanaojitambua wamemuelewa vizuri sana!Mkuu wewe ndo RC au mwandishi wake binafsi? Mwambie ajipange vizuri ili aelekewe kwa wote hata wasio wa "kiroho"
Aksante mkuu. Uwe na siku njema.Wanaojitambua wamemuelewa vizuri sana!
Amina!Aksante mkuu. Uwe na siku njema.