Usije kusema haya maneno mbele ya Mpemba au Munguja anaweza kukutukana.Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Hako kawimbo watu tunakaimba chumbani, hasa ile chorus nywinywinywiHakuna cha nywinywi wala nywinywinywi...
Tuseme Samia kalipa kisasi kwa kuwauwa watanganyika maana watanganyika walizoea kuua wazanzibar!!!Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
lkn mada yenyewe umeielewa?Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Akisafiri mnasema hatulii kutwa kiguu na njia! Akifungua mdomo kuongea mnasema anaongea pumba, Sasa mnatakaje nyie Waja wa Mungu? Nchimbi keshaukosa Urais make tu kwa kutulia,Tena mlivyo mafala mmemponza Nchimbi,kutwa humu mlikuwa mnampa kichwa mara sijui ana ulinzi wa kibabe hakuna wakumgusa,mara sijui mzalendo wa wa kweli wakijaribu kumgosa kanisa litapitanao!Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Unalala unamka unawaza Samia leo yuko wapi, anafanya nini. Hata akipiga chafya we mbio kuja kuripoti jf.Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Hawa ni mapoyoyo tu hasa huyo Quinine anahangaika mpk basiAkisafiri mnasema hatulii kutwa kiguu na njia! Akifungua mdomo kuongea mnasema anaongea pumba, Sasa mnatakaje nyie Waja wa Mungu? Nchimbi keshaukosa Urais make tu kwa kutulia,Tena mlivyo mafala mmemponza Nchimbi,kutwa humu mlikuwa mnampa kichwa mara sijui ana ulinzi wa kibabe hakuna wakumgusa,mara sijui mzalendo wa wa kweli wakijaribu kumgosa kanisa litapitanao!
Keshapotea mazima kwenye Ramani ya kisiasa mwenzenu.....
MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ... SAMIA NA WAHALIFU WENZIE WAMEBAKISHA MIEZI 18 TU KUTOKA SASA ,WATAANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA INAWEZA KUWAPELEKEA KUMWAGA DAMU ZAIDI..ILA MWISHO WAO NI MBAYA NA MBOVU.Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ...SAMIA KABAKISHA MIEZI 18 TU KABLA YA YEYE NA WAHALIFU WENZIE KUANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA MISUKOSUKO INAYE KWENDA KUWAKUTA NA KWA SABABU HIYO UENDA WAKALAZIMIKA KUJARIBU KUZIDI KUMWAGA DAMU ZAIDI ILI KUJINUSURUSamia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Ni dini iliyouwawa october 29?MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ...
Acha wenge mzee Kwani waliokufa watu wa dini moja?MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ...SAMIA KABAKISHA MIEZI 18 TU KABLA YA YEYE NA WAHALIFU WENZIE KUANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA MISUKOSUKO INAYE KWENDA KUWAKUTA NA KWA SABABU HIYO UENDA WAKALAZIMIKA KUJARIBU KUZIDI KUMWAGA DAMU ZAIDI ILI KUJINUSURU