PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!

Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Je umepata faida gani baada ya Watanganyika kuuliwa na Samiah Otober 29
 
Unalala unamka unawaza Samia leo yuko wapi, anafanya nini. Hata akipiga chafya we mbio kuja kuripoti jf.
Hata wanaokulipa nao wana shida mahala. Yaani huna habari umebaki kuokoteza tu ilimradi yasipite masaa bila kuanzisha uzi ili na wewe uonekane uko active
Usinipangie cha kuandika we *****, mimi siandiki kukufurahisha wewe jinga kama unataka thread za kukufurahisha nenda kwa Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa mkabubujike machozi. Pambaf la kike.
 
Acha wenge mzee Kwani waliokufa watu wa dini moja?
Kwani mauaji ya Rwanda yanavyo itwa mauaji ka kibabila waliokufa ni wakabila moja ‽ tumia akili wacha kutumia kijambio kufikili..wewe unadhani hiyo oct29 kwa sababu gani Risasi za moto tu ndiyo zilitumika hakuna risasi za plastiki zilizo tumika tofauti na kanuni za kutuliza gasia ... kanuni za kutuliza gasia zinaeleza kuwa njia salama zinatakiwa kutumika kwanza kabla ya kutumia njia hatari pale tu njia salama zinapo zidiwa nguvu ..ila oct29 ni RISASI ZA MOTO TU NDIYO ZILITUMIKA.
 
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare tumefichwa.

Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Ukimuua hata mjusi roho na nafsi inakusuta kwamba uenda ya kua huyu mjusi ana watoto wanaomsubiria awapelekee chakula sasa nimemuua wale watoto wake wataishije? sio kwamba nimemkosea Mungu ngoja nikatubu maana imeandikwa usiue na haijaandikwa usiue nini ila usiue maana haukuwahi kuumba wewe
 
Usinipangie cha kuandika we *****, mimi siandiki kukufurahisha wewe jinga kama unataka thread za kukufurahisha nenda kwa Tlaatlaah na Lucas Mwashambwa mkabubujike machozi. Pambaf la kike.
Ushapanic!
Hivi hapo ulipo unahaha mwenyewe kutafuta taarifa za Samia.
Ukikosa hapo unaenda kimataifa kutaftiza Jumuia ya kimaifa ipi imesema vibaya kuhusu Tz.
Ukikosa unaanzisha tu kathread 'leo Samia kachelewa kuamka'.
 
MAUAJI YA KIDINI YALIYO FANYWA NA CCM OCT29 NA MENGINEYO CHINI YA SAMIA ni ngumu kujisafisha ni lazima yatasafishwa kwa damu zao hivyo wanaishi kwa hofu kuu ....tena wana muda mchache sana ..vinginevyo Samia afanye kama Museven kujibakisha madarakani yeye na familia yake ... SAMIA NA WAHALIFU WENZIE WAMEBAKISHA MIEZI 18 TU KUTOKA SASA ,WATAANZA KUCHANGANYIKIWA KWA HOFU NA INAWEZA KUWAPELEKEA KUMWAGA DAMU ZAIDI..ILA MWISHO WAO NI MBAYA NA MBOVU.
Watachanganyikiwa zaidi wakishtuka wamebakiza mwaka kuondoka.
 
Hasara ni kwa familia yako, by the way huna cha kupoteza huna wanaokutegemea nenda kajitowe sadaka tu.

Awamu hii huyo kibibi chenu lazima tumshughulikie kisawasawa hadi ajiuzulu.katuharibia nchi yetu iliyokuwa nzuri kabla yake.
 
Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.

Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.

Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.

Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.

Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.

Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.

Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Na hapo tuliambiwa eti kashinda kwa 97%
 
Cheza na kitu kingine ila siyo damu za raia wasiokuwa na hatia, this will disturb her to grave...
 
Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.

Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.

Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.

Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.

Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.

Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.

Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Stress zitawaua.
 
Back
Top Bottom