CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huu ndio ukweli ambao watu wengi wanajizima data hawataki kuukubali.
Huyo Samia si mtu mbaya kiivyo, ila jumna bovu linamuangukia kwakuwa yeye ndio mwenye mamlaka yote, lakini kuna wafanya maamuzi zaidi yake.
Hata hizo asilimia 97 za kura simini kama ni Samia alitaka apewe ushindi huo, bali ni kundi lavwajinga wenye maamuzi kwenye nchi hii ndio walifanya hiyo.
Hao washauri wake sasa
