PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Ok pinga huo upotoshaji kwa hoja lkn ukija kwa matusi kwangu yamejaa kabati.

Mfano nimesema Samia jana alikuwa Harare wewe sema mbona jana alikuwa Arusha kwenye mkutano wa IPU. Simple.
waeleze tu wadau wa Jf kwamba wewe ni tajiri wa mihemko, makasiriko na matusi jukwaani,
na sio kuwapotosha wadau eti una hoja mahususi mezani, hiyo ni uongo mtupu, na huo ni upotoshaji wa kiwango kibaya sana gentleman 🐒
 
JF ni watu wazima, kwani wewe uliwaeleza kuwa ni kuwadi wa wauwaji wa 29/10 si walijua wenyewe kutoka kwenye nyuzi zako.
 
JF ni watu wazima, kwani wewe uliwaeleza kuwa ni kuwadi wa wauwaji wa 29/10 si walijua wenyewe kutoka kwenye nyuzi zako.
Gentleman,
bila mihemko bali kwa kurelax na kwa faida ya wadau wa Jf,

unaweza kueleza kwa kina kirefu zaidi hiyo porojo gentleman nadhani itapendeza zaidi 🐒
 
Gentleman,
bila mihemko bali kwa kurelax na kwa faida ya wadau wa Jf,

unaweza kueleza kwa kina kirefu zaidi hiyo porojo gentleman nadhani itapendeza zaidi 🐒
Sawa, jana Samia alienda Harare Zimbabwe kuhani msiba wa rafiki yake Chivayo, ndege yetu hiyo Gulfstream G700 inamsubiri.

HT9RldrWkAAwbb7.jpg
 
Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.
hili litafanyika,Samia anakwenda kutuachia katiba ya Samia!
P
 
Sawa, jana Samia alienda Harare Zimbabwe kuhani msiba wa rafiki yake Chivayo, ndege yetu hiyo inamsubiri.

View attachment 3685902
Anaweza kwenda popote Africa na dunia nzima bila kujali mihemko, makasiriko au porojo zako, za chama chako na wafuata mkumbo wenzako wote gentleman and you can do nothing about that light truth 🐒
 
Anaweza kwenda popote Africa na dunia nzima bila kujali mihemko, makasiriko au porojo zako, za chama chako na wafuata mkumbo wenzako wote gentleman and you can do nothing about that truth 🐒
I just wanted you and your friends house negro to admit the truth and nothing else, have a good night.
 
I just wanted you and your friends house negro to admit the truth and nothing else, have a good night.
OK.
but,
your useless, emotionally charged, and inconsequential ranting on the platform might only unsettle your fellow bandwagon jumpers and nothing more.:pedroP:
 
OK.
but,
your useless, emotionally charged, and inconsequential ranting on the platform might only unsettle your fellow bandwagon jumpers and nothing more.:pedroP:
No one brought you here you may opt to vanish and no one cares.
 
No one brought you here you may opt to vanish and no one cares.
In fact, that is the absolute truth,
and that is why there is no need for empty rhetoric and useless emotional outbursts on the platform, because it is simply nonsense.:NoGodNo:
 
Kwani unalazimishwa kufungua thread zangu na nikifuatiliwa na boss wangu wewe kinakuwasha nini. Pumbavu.
Tulia basi. Ukipost humu lazima tukufuatilie na boss wako ajue hivyo
 
Kila mtu anamuombea mabaya bibi yule!
Mimi ninamuombea Rais wa Tanzania Dr Samia Suluhu Hassan Mungu aendelee kumlinda ,apate nguvu, afya njema ili aendelee kuwatumikia watanzania.
Wanaomchukia mh Rais Samia watakufa na chuki zao kwa sababu hawana wanaloweza kumfanya kwakuwa watanzania tunamuombea dua njema na vyombo vya ulinzi na usalama vinatekeleza wajibu wao WA kumlinda Rais kwa sababu kipaumbele namba moja cha usalama wa taifa NI usalama wa Rais.
Rais akiwa salama taifa liko salama.
Ndio maana Rais analindwa Kwa nguvu zote.
 
Back
Top Bottom