Sasa hivi naweza kukwambia kuwa tatizo letu haliishii kwa u-Tanganyika wetu na u-zanzibari wao; na wala haliishii kwa u-CCM wao na u-chama wa wengine wote...Watanganyika na Wazanzibari tunapaswa kuungana dhidi ya Ccm.
Sasa hivi naweza kukwambia kuwa tatizo letu haliishii kwa u-Tanganyika wetu na u-zanzibari wao; na wala haliishii kwa u-CCM wao na u-chama wa wengine wote...Watanganyika na Wazanzibari tunapaswa kuungana dhidi ya Ccm.
SijakuelewaNyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Na huelewi maisha yako yoteSijakuelewa
Upo sahihi lkn unakumbuka kipindi hadi tukaanza kusema mama anaupiga mwingi, labda kama alikuwa ameficha makucha.Hata sijui kwa nini umeona ni vizuri kumpamba kama ulivyofanya hapa!
Kama alikuchota akili kwa uigizaji wake mzuri, ingefaa ueleze hivyo waziwazi kuliko kumfanya mtu mwovu kama huyu aoinekane kuwa kabadilika tu ghafla bila ya sababu zozote.
Samia ni mwanasanaa aliyekubuhu, ambaye ndani yake hana chembe hata ndogo ya hayo mazuri unayojaribu kumpamba nayo.
Kule kupapasa mito ya kitandani hospitalini alikolazwa Tundu Lissu Nairobi; inabidi picha hiyo uiweke sambamba na hii ya kuwaambia wazazi walioruhusu watoto wao kwenda kuuliwa na serikali yake; au na Tundu Lissu huyo huyo ambaye kamweka gerezani zaidi ya mwaka sasa kwa kesi anayojuwa ni ya kutunga tu!
Hii mada yako ya kujajaribu kumpamba mtu ambaye hastahiri inasikitisha sana; pamoja na kwamba inajulikana kuwa nia ya mada ni kuonyesha mhusika alivyo mwovu.
Usanii wa Samia ulijulikana toka wakati anavutana na Mbowe gerezani na kumburuza hadi Ikulu!
Tundu Lissu na wengine wote waliosoma usanii huo toka mwanzo hawawezi kukubaliana na mapambo haya unayomvalisha mtu mwovu huyu.
Ila hakuna mtanganyika aliekua happy kuona yale mliyokuwa mkipitia tulicmama kidete kuwapgania ila huo mfuma wa kiccm selikalini ndio iliokuwa uanatumika kuwaumiza naukienelea huu mfumo unaweza kuwaludia tena kwa maumivu chamcngi ni kucmama pa1 kuakikisha tunautoa..Nyie mmeua wangapi kila uchaguzi mkuu Pemba na Unguja?
Toka mfumo wa uchaguzi wa vyama vingi,hakuna hata uchaguzi ambao ulipita bila kuua wazanzibar, isipokuwa 2025!
Maumivu mnayopitia sahivi,upande wa pili walipitia kila uchaguzi.
Na bado kuna mapigo mengine...!Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Huwezi kuua halafu ukatamalaki
Mikono yake inavuja damu za Watanganyika.
Shetani hawezi kukupa ushindi wa kudumu, anakuhadaa na ushindi au mafanikio ya muda mfupi, lakini baadaye ni lazima akuangushe, na ukionfoka ulimwenguni ukaishie jehanamu ya milele.
Angeupokeaga ushauri wa ndugu yake wa damu, Dr Ummy kuwa asigombee 2025, atajijengea heshima kubwa, leo asingekuwa anajuta. Lakini shetani akiwa amemwingia, aliukataa ushauri, na kumchukia Ummy, kumwonfoa kwenye uwaziri, na kulikata jina lake kwenye ubunge. Baada ya hali kuwa mbaya, karudi kumkaribia Ummy, na kumteua eti kuwa mshauri wake, wakati mambo yamiwa yameharibika kabisa.
Wenye damu za Watanganyika mikononi mwao, kamwe hawatakuja kuwa na amani mioyoni mwao, na laana itawafuata wao binafsi na vizazi vyao.
JezebeliAsomae na aelewe...
...Mahali pale mbwa walipoiramba damu ya wale aliowaua, mbwa watairamba na damu yake, naam, damu yake...
Umenikumbusha Tlaatlaah na Chadema, ni sawa na chura na maji.Unalala unamka unawaza Samia leo yuko wapi, anafanya nini. Hata akipiga chafya we mbio kuja kuripoti jf.
Hata wanaokulipa nao wana shida mahala. Yaani huna habari umebaki kuokoteza tu ilimradi yasipite masaa bila kuanzisha uzi ili na wewe uonekane uko active
Mi naomba uyu uliemjibu asije akawa ni Islamic maana wazidi kutuzalilisha waislam..Kwanza, acha kujifanya unajua sana historia wakati unaweka ushabiki mbele. Unapodai maumivu wanayopitia wananchi sasa hivi ndio Wapemba walipitia kila uchaguzi wa nyuma, unapaswa kujua kuwa hata wakati huo tulikemea na kulaani ukatili huo! Labda hukujua kwa sababu zamani hakukuwa na mitandao ya kijamii kama JamiiForums au hii ya sasa kufikisha sauti zetu. Tofauti ya wakati huo ni kwamba waandishi wa habari wa nje waliruhusiwa kuingia, watu waliona kila kitu live, na mashirika ya haki za binadamu yalitoa ripoti waziwazi.
Pili, huyu dada yako Mpemba mwenzako amefanya hili kwa makusudi kabisa; amepanga mkakati wake kwa namna tofauti kabisa na zama za Mkapa. Ni kweli kuwa wale raia walimuua polisi waliyekuwa wakimfukuza wakielekea kuvamia kituo cha polisi, lakini pamoja na hayo, nguvu kubwa ya ukatili iliyotumiwa na polisi kurudisha mapigo ilikuwa ya hovyo na ilipitiliza—na bado tulikemea hilo!
Tatu, unataka kuhalalisha vifo vya raia wa sasa kwa kisingizio cha kijinga kwamba 'kwa kuwa Wapemba walikufa huko nyuma, basi ni rukhsa kuua tena sasa hivi'? Unasahau kabisa kuwa wanaoua wananchi siyo Watanganyika, bali ni watu wa CCM. Ni mfumo huo huo wa CCM ambao wewe na wenzako mmekuwa chawa wao wa kushangilia kila uovu. Unavyojitahidi kutumia maumivu ya nyuma kuhalalisha ukatili wa sasa, unazidi kuthibitisha jinsi ulivyo clown usiye na akili ya kujitegemea wala chembe ya ubinadamu! 🤡"
Obama mwenyewe amewahi kukiri kwamba kuna maagizo alikuwa anapewa alipokuwa rais na watu asiowajua ila wanaijua taasisi ya urais.Maisha ni ya ajabu sana. Unaweza dhani nafasi ya Uraisi ukiipata, basi maisha haya wewe kila kitu umemaliza. Lakini hebu fikiria Rais anapoteza Nuru ila mcheza kamari hapo mtaani yuko zake fresh. Lissu all the time is smiling.
Binafsi huwa naamini Samia Inherently ni mtu Muungwana sana. Yule aliyeanza March 21 ndiye Samia halisi.
Bahati mbaya sana, Madaraka wakati mwingine sio kama yalivyo. Kuna interview moja, Putin anasema Marekani, Maraisi hawaongozi wao nchi, licha ya utashi wao Mzuri, ila kuna watu wako nyuma ya maamuzi.
Pengine hii hata kwetu hapa inaweza kuwa kweli.
Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.
Najua ni jambo gumu sana, sababu maadui wake wakubwa sio Chadema, ila wako yake. Ni jambo la kufa na kupona kwake. Namuombea kwa Mungu aguswe na hilo, amlinde na alitimize.
Cc: Pascal Mayalla
Ila ukwe mnaujuwa yakuwa hamtakiwi na wananchi hata kidogo na ndiomana mmeamuwa kutumia bunduki...Kwahiyo watu wanaochinja ng'ombe,mbuzi,kondoo na KUKU wanapata dhambi eti kwasababu imeandikwa "USIUE?!"
Mara ngapi kila siku tunaambiwa polisi wameua watu "wanaosadikiwa kuwa ni majambazi" na hatulalamiki?!
Ukiona nyoka anaingia ndani mwako umwache tu kisa imeandikwa "USIUE?!
Hiyo ni akili ya namna gani?!
Samia hajawahi kuwa mcheshi maana hana akili ya kuwa mcheshi ili uwe mcheshi lazima uwe na akili.Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.
Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.
Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.
Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.
Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.
Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.
Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Kesho shemeji yako wanam restisha in pieces serikali imetoa ndege ya bure kadandie lift uwahi mazishi.Gentleman,
unamaanisha kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, right?![]()
ok.Kesho shemeji yako wanam restisha in pieces serikali imetoa ndege ya bure kadandie lift uwahi mazishi.
