PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

PostGE2025 Mauaji ya 29/10 yamebadilisha sana maisha ya Samia sio yule wa 2024

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.

Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.

Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.

Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.

Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.

Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.

Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Elnino ipo mkuu
 
Mara nyingi watu na mazingira yanayokuzunguka ndio hubadilisha tabia ya mtu, ukitembea na wavuta bangi lazima utavuta. Samia hakuwa hivyo.
Absolute power corrupts absolutely.

Power and money can bring out your true colors.

A constitution for and by THE PEOPLE is the only solution to this madness.
 
Upo sahihi lkn unakumbuka kipindi hadi tukaanza kusema mama anaupiga mwingi, labda kama alikuwa ameficha makucha.
Kuhusu kuupiga mwingi…That I can call a “post Maghufuli syndrome”

She is who she is. By now we all know.

She’s just not happy that we now know who the real Samia is.

Katiba yetu inampa madaraka makubwa kama mungu mtu. Hivyo kuna nafasi ya kujionyesha haswa yeye ni mtu au kiongozi wa aina gani.

Katiba yetu inampa “absolute power”

So quit cutting her a slack and the buck stops with her.
 
Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.

Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.

Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.

Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.

Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.

Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.

Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Hilo la 29/10 ni mawazo yako, nachoona waswahili wamemzunguka na wanamshauri vibaya kwa maslahi yao. Wazanzibari wamemharibu, wamemfitinisha na wabara kwamba hawampendi na ukizingatia Samia ni mwanamke unategemea nini.
Ila ni ukweli mwaka jana waliopiga kura ni wachache sana, watu weusi bado sana kumkubali mwanamke, ht Marekani hawajawahi kuwa na Rais mwanamke mpk leo. Haya ni mafunzo kwamba tumtegemee Mungu, CCM haikuwaza km Magufuli angefia madarakani maana hata wao CCM hawakuwahi kuwaza Samia angekuja kuwa Rais ni wamejikaza tu! Ni funzo kwamba anayeteuliwa makamu wa Rais ni Rais wa akiba.
 
Maisha ni ya ajabu sana. Unaweza dhani nafasi ya Uraisi ukiipata, basi maisha haya wewe kila kitu umemaliza. Lakini hebu fikiria Rais anapoteza Nuru ila mcheza kamari hapo mtaani yuko zake fresh. Lissu all the time is smiling.

Binafsi huwa naamini Samia Inherently ni mtu Muungwana sana. Yule aliyeanza March 21 ndiye Samia halisi.

Bahati mbaya sana, Madaraka wakati mwingine sio kama yalivyo. Kuna interview moja, Putin anasema Marekani, Maraisi hawaongozi wao nchi, licha ya utashi wao Mzuri, ila kuna watu wako nyuma ya maamuzi.

Pengine hii hata kwetu hapa inaweza kuwa kweli.

Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.

Najua ni jambo gumu sana, sababu maadui wake wakubwa sio Chadema, ila wako yake. Ni jambo la kufa na kupona kwake. Namuombea kwa Mungu aguswe na hilo, amlinde na alitimize.

Cc: Pascal Mayalla
Kama anajua maadui wake wapo nyuma yake kwanini anaangaika na vyama vya upinzani kuvipiga Pini na kwanini anatoa mipasho sana kwa WANANCHI huyu mama ndio yeye alisema waliandamana wanatokea mipaka ya nje ya nchi na wengine wa hapa wamelipwa hela kuandamana, ndio huyu huyu pia alihamasisha rushwa kwa kauli yake ile ya kula lakini msivimbiwe tena kaongea kwa wazi
 
Akisafiri mnasema hatulii kutwa kiguu na njia! Akifungua mdomo kuongea mnasema anaongea pumba, Sasa mnatakaje nyie Waja wa Mungu? Nchimbi keshaukosa Urais make tu kwa kutulia,Tena mlivyo mafala mmemponza Nchimbi,kutwa humu mlikuwa mnampa kichwa mara sijui ana ulinzi wa kibabe hakuna wakumgusa,mara sijui mzalendo wa wa kweli wakijaribu kumgosa kanisa litapitanao!

Keshapotea mazima kwenye Ramani ya kisiasa mwenzenu.....
Ngoja aje hapa Tilaatilaah aseme ok , 🤣
 
Samia alikuwa mcheshi mtu wa watu, mtu wa kuonekana hadharani mara kwa mara.

Alikuwa ni mtu wa safari za ndani na za nje, Oman Dubai ilikuwa sebleni kwake, alizunguka mikoani kutembelea na kuwasalimia wananchi.

Alipenda mikutano, alionekana akizunguka kukagua na kuzindua miradi hadi CHADEMA na Wanaharakati wakasema 'Mama anaupiga mwingi'.

Tulishuhudia akicheza mziki wa taarabu na wananchi wake sehemu mbalimbali.

Leo amekuwa kama kakakuona, anaonekana kwa nadra sana, life style has changed.

Hata akifanya safari anafanya kwa kujificha ficha, nasikia jana alikuwa Harare Watanzania tumefichwa.

Nimeamini kweli damu ya mtu ni mzigo, ile nuru aliyokuwa nayo kabla ya 29/10 imetoweka kama mawingu ya el nino.
Kilichonishangaza kwanini aende kisirisiri kwa CHIVAYO ,kwani kuna SHIDO ikijulikana?
 
Watu kama wewe ukitandikwa risasi ni sawa kabisa.

Hata october 29 kuna Wahalifu kama wewe kuuwawa ilikuwa ni sahihi.

One thing mtego Chadema inapaswa kuuepuka ni kundi la wahalifu kutaka kutimiza uhalifu na hujuma kwa kisingizio cha siasa.

Mimi siipendi kabisa ccm lakini siwezi kutetea wahalifu na wahujumu uchumi wa miundombinu yetu.

Unachoma moto vituo vya mwendokasi kuna waziri gani au mbunge gani anatumia hiyo huduma kama siyo unawahujumu maskini wenzako?
Siku ya afcon lazima tukinukishe.Hatutakubali kuruhusu afcon wakati sa100 anaua watanganyika wenzetu kama polepole.
 
Kama anajua maadui wake wapo nyuma yake kwanini anaangaika na vyama vya upinzani kuvipiga Pini na kwanini anatoa mipasho sana kwa WANANCHI huyu mama ndio yeye alisema waliandamana wanatokea mipaka ya nje ya nchi na wengine wa hapa wamelipwa hela kuandamana, ndio huyu huyu pia alihamasisha rushwa kwa kauli yake ile ya kula lakini msivimbiwe tena kaongea kwa wazi
Soma vizuri coment uliyoijibu kuhusu Putin alisemaje kuhusu watoa maamuzi wa huko Marekani !
 
Kwani mauaji ya Rwanda yanavyo itwa mauaji ka kibabila waliokufa ni wakabila moja ‽ tumia akili wacha kutumia kijambio kufikili..wewe unadhani hiyo oct29 kwa sababu gani Risasi za moto tu ndiyo zilitumika hakuna risasi za plastiki zilizo tumika tofauti na kanuni za kutuliza gasia ... kanuni za kutuliza gasia zinaeleza kuwa njia salama zinatakiwa kutumika kwanza kabla ya kutumia njia hatari pale tu njia salama zinapo zidiwa nguvu ..ila oct29 ni RISASI ZA MOTO TU NDIYO ZILITUMIKA.
Watu wanavamia vituo vya polisi, kuua wapiga kura, unataka risasi za plastiki za kazi gani? Risasi za moto ndio ilikuwa halali yao
 
Mimi binafsi nilikuwa nipo nyumbani Kwa baba yangu (Nilipozaliwa na hio siku watu wanapiga kura na kuandamana). Lakini pia siku hio ndugu yangu (wakiume) alikufa kwenye hizo vurugu. Na uchungu nnao pia.
But kipindi vurugu zinaendelea yeye alivyotoka mwanzo kwenda barabarani alisema Kwa mdomo wake askari wanapiga mabomu ya machozi ili kufukuza watu barabarani ila mara ya pili alivyoenda Tena hakurudi na sijui alipo mbaka Sasa hivi ila zilitumwa picha zake akiwa amefariki.
Lengo langu ni kukwambia Mimi binafsi si support mauaji ya 29 October lakini tahadhari watu walipewa sana Tena sana kabla ya kuanza kunyesha mvua ya risasi. Kwasababu waliokuwa wapo kwenye hizo vurugu niliwasikia wakisema gari la polisi lilikuwa linapita na kufukuza watu barabarani Kwa mabomu ya machozi na kuthibitisha Hilo lilipigwa Moja likaangukia home (sio mbali sana na barabarani). Kwahiyo kosa lipo pande zote ni vile waliokufa ni watu na hatuwezi kuwarejesha na vilivyoharibika ni vitu na tunaweza kuvirejesha lakini ni vile tuliopata hasara ni sisi tuliopoteza watu.
Sasa wewe useme ni mauaji ya kidini Kwa namna gani na imekuwaje Mimi ni Muslim na baadhi ya ndugu zangu wamefariki na wewe pia umesema ndugu zako wamefariki. Sasa udini upo wapi hapo na wamekufa watu wa dini zote?
Unajua Kuna watu wameuliwa majumbani mwao unataka kuniambia ni taadhari ya aina gani hiyo unamfuata mtu nyumbani kama hakukuwa na dhamira hiyo? Kuna wengine ni watoto, wazee na wa mama wameuliwa ni kundi ambalo ni dhaifu hawana madhara yoyote ya kusema wazuru polisi ndio maana tunasema ni mauaji yaliopangwa. Kuna baadhi waliohusika na kuandamana walikamatwa vipi polisi waliohusika na kujua raia wema wamewajibishwaje umewahi kujiuliza hivyo?
 
Sasa hivi naweza kukwambia kuwa tatizo letu haliishii kwa u-Tanganyika wetu na u-zanzibari wao; na wala haliishii kwa u-CCM wao na u-chama wa wengine wote.
Bali tatizo letu linaishia wapi Mkuu ?
Nimeshindwa kuelewa hapo 🙏
 
Watu zaidi ya 10,000 wameuawa, je, urais una thamani kiasi hicho kuliko uhai wa mtu, tena asiye na hatia?
 
Akisafiri mnasema hatulii kutwa kiguu na njia! Akifungua mdomo kuongea mnasema anaongea pumba, Sasa mnatakaje nyie Waja wa Mungu? Nchimbi keshaukosa Urais make tu kwa kutulia,Tena mlivyo mafala mmemponza Nchimbi,kutwa humu mlikuwa mnampa kichwa mara sijui ana ulinzi wa kibabe hakuna wakumgusa,mara sijui mzalendo wa wa kweli wakijaribu kumgosa kanisa litapitanao!

Keshapotea mazima kwenye Ramani ya kisiasa mwenzenu.....
Kwa hiyo unafurahia kabisa mtu kupotezwa???
 
Mnakosea sana kuchanganya Dini na yote yaliyotokea !
Na hapo ndipo mnapozidi kuwagawa watu na bila kujua ndivyo mnavyozidi kufanya jambo hili lishindikane kupatikana ufumbuzi wake !

Msiingize Dini katika suala hili kwa sababu hatopatikana mshindi !
Vinginevyo watu watakuwa wanaicheza ngoma wasioijua ! 😳
 
Ndiyo.
Inawezekana hapa kuna matatizo ya replica human beings.
It is what is being whispered in my ears.
I am being told about duplicate human beings.
It seems fantastic because only the best of best intelligence agencies deploy duplicates.
 
Watu wanavamia vituo vya polisi, kuua wapiga kura, unataka risasi za plastiki za kazi gani? Risasi za moto ndio ilikuwa halali yao
Kabla ya Oct Serikali ya samia ilikuwa inaua na kuteka watu usiku na mchana hayo ya Oct 29 ni matokeo ya uovu wa wazanzibar na genge la raia feki ...kuna mashekh wwanatamka wazi kuchinjwa na kuua watu kabla na baada ya uchaguzi je umejua kwa nini hao mashekh awakamatwi ‽ ...ila gwajima katamka katiba mpya kafungiwa makanisa yote nchi nzima ...unadhani hayo mambo ni ya bahati mbaya...yupo shekh katamka hadharani kabisa mbele ya wakristo wa kanisa la mwamposa tena mbele ya rais kabisa kuwa wakristo wauliwe mbona akukamatwa..tupe fafanuzi ya haya matukio na logic yake...NA KAMA HAYO YALIYO FANYIKA MNAYASHANGILIA BASI MSIJE MKALIA NA KUSAGA MENO PALE ITAKAPO TOKEA BACKFIRE MAANA NI SWALA LA MUDA TU...SIKU ZOTE MPUMBAVU UJIFUNZA KWA MAJUTO NA UCHUNGU NA HASARA KUBWA SANA KWA SABABU UPRACTICE UPUMBAVU WAKE KWENYE MAISHA ...MAUAJI YANAYO FANYA NA SAMIA YANA..
1)UDINI KWA ASILIMIA 100٪ 2)YANA UZANZIBARI KWA ASILIMIA 100.
3)NA YANA URAIA FEKI KWA ASILIMIA 100%.

USHAHIDI UPO WAZI KABISA..KITU MNACHO TAKIWA KUNGOJA NI BACK FIRE YAKE MSIJE SIKU ZA MALIPIZI MKAANZA KULIA NA KUSAGA MENO...SHIKA HAYA MANENO YANGU.
 
Mnakosea sana kuchanganya Dini na yote yaliyotokea !
Na hapo ndipo mnapozidi kuwagawa watu na bila kujua ndivyo mnavyozidi kufanya jambo hili lishindikane kupatikana ufumbuzi wake !

Msiingize Dini katika suala hili kwa sababu hatopatikana mshindi !
Vinginevyo watu watakuwa wanaicheza ngoma wasioijua ! 😳
Upo sahihi kabisa mauaji hayakuchagua dini.
 
Back
Top Bottom