Bigmaaan
JF-Expert Member
- Nov 25, 2023
- 660
- 1,438
Maisha ni ya ajabu sana. Unaweza dhani nafasi ya Uraisi ukiipata, basi maisha haya wewe kila kitu umemaliza. Lakini hebu fikiria Rais anapoteza Nuru ila mcheza kamari hapo mtaani yuko zake fresh. Lissu all the time is smiling.
Binafsi huwa naamini Samia Inherently ni mtu Muungwana sana. Yule aliyeanza March 21 ndiye Samia halisi.
Bahati mbaya sana, Madaraka wakati mwingine sio kama yalivyo. Kuna interview moja, Putin anasema Marekani, Maraisi hawaongozi wao nchi, licha ya utashi wao Mzuri, ila kuna watu wako nyuma ya maamuzi.
Pengine hii hata kwetu hapa inaweza kuwa kweli.
Kama kuna jambo ambalo Rais Samia anaweza lifanya na akakumbukwa daima, ni kuacha Katiba Mpya halisi ambayo itaweka misingi bora ya kidemokrasia na kiuwajibikaji.
Najua ni jambo gumu sana, sababu maadui wake wakubwa sio Chadema, ila wako yake. Ni jambo la kufa na kupona kwake. Namuombea kwa Mungu aguswe na hilo, amlinde na alitimize.
Cc: Pascal Mayalla