Uvccm mfuu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2024
- 453
- 492
Mpaka wamuuwe mamako na basha lako ndio akili itakurudi saiv bado dish limeyumba.Jaribu uone weledi wa wqkali wa kazi hizo, unakutana na vihuni vya mitaani ndio unajumuisha Tiss na Polisi wote? Usiombe wakuonyeshe weledi wao
Ndio maana tunataka wasakwe popote walipo
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Watanzania hatuna tofauti na hao wanyama!TWISHI ufanya mauaji kwa namna Tofauti
Wanaweza wakakuacha “u survive to tell the tail” uku ukiwa kilema ili watu wengine waogopa maana utasimulia
Wanaweza wakakuua Kama ally kibao ili waliozunguka waogope
Au wanaweza wakakupoteza mazima kaka impact ya kifo chako itachafua upepo wa mob , yaan watu kuingia mtaani hapo wanakupoteza hili hata kimataifa ushahidi ukosekane, au ukapewa sumu utajiishia taratibu,
Mbali zaidi wakazima betri ya kifuani kwa manufaa mapana ya nchi baadae
Britanicca
Unapajua nyumbani kwake wewe? Unadhani nmi rahisi sana mtu kufwata nyumbani kwake tu, je kama nyumbani kwa huyo mtu kuna kila aina ya ulinzi amabo ungesababibisha vita kubwa tu hata mpaka kubaini waliotumwa? Kwenye basi kama hujui ndio palikuwa rahisi zaid kwakuwa Marehemu asingeweza kutumia silaha yoyote mbele ya kundi la watu zaid angeweza kutii amri tu.Hata sisi wa kawaida tunaona kuwa kundi hilo ni adui wa nchi wenye nia ya kuleta fujo.
Kwanini wamfuate kwenye gari na sio nyumbani kwake.
Zenye weledi ni zipo, sasahivi Nchi yeti haina taasisi imara zenye weledi Bali ila .....wanaimba mapambio, raising kafanya kila kitty.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
WordKama genge la wahuni wanaweza kufanya chochote kwenye nchi yenye mifumo yote, tena mchana kweupe, hiyo nchi imeoza kuanzia huko juu.
Vinginevyo wenye mamlaka ni sehemu ya hilo genge la wahuni.
Tangu lini kuna taasisi yenye weledi Tanzania?Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Nchi ya kiboya sn,watu wana pingu na silaha afu polisi wapo kimya tu,me naamini mchezo wote polisi wanafahamuNina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Genge hilo si ajabu Ni la watu Kama yule aliyekiri kufanya Mambo porini. Kwa kweli yule aliyekua mkuu wa wilaya ya Longido sio professional kabisa, au yule aliyesema "tukiwapoteza wapinzani msiwatafute' that guy was not professional.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Kumbe Tanzania kuna magenge ya kihalifu ambayo yanaweza kufanya lolote kwa wakati wowote na maisha yakaendelea, yaani watu wafyate mkia,kabisa mkuu. kwa hiyo kama sio vyombo vya dola tulia anabidi akubali kuwa kuna dharura tanzania tunaelekea kuwa kama haiti kwamba raia tu wana machine guns wanaweza kuteka mtu hadharani so si salama.
Ni sahihi, hata Lisu kupigwa risasi lilikuwa genge tu ambalo likashindwa kupiga on target na kupoteza risasi zaidi 30 huku 16 zikifika kwa mlengwa bila kutoa mafanikio.Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.
Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.
Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Naona hata 'mabaka' siku hizi wameamua kushikamana na wahuni.Kwani Polisi/tiss wana weledi? Hayo si ni magenge yanayofanikisha uharamia wa CCM tu