Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Jaribu uone weledi wa wqkali wa kazi hizo, unakutana na vihuni vya mitaani ndio unajumuisha Tiss na Polisi wote? Usiombe wakuonyeshe weledi wao
Mpaka wamuuwe mamako na basha lako ndio akili itakurudi saiv bado dish limeyumba.
 
Ndio maana tunataka wasakwe popote walipo

Ikumbukwe tukio la namba hii sio la kwanza, yapo yaliyotangulia na hawajawahipatikana. Hii inaashiria hao genge la wahuni Wana weledi kuliko vyombo vyetu.

Na upande mwingine ili hayo yawzrkane, hao wahuni ni sehemu ya mfumo, hakuna maelezo mengine, hauwezi kusema tunavyombo visivyo na weledi wa kufuatilia matukio ya aina hii.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane

Unataka kusema ile Task Force ambayo inafanya hiyo kazi ya kutrka na kuua, na inaaminiwa na ikulu na kureport moha kwa moja kwa Rais, imeundwa na watu wasio na professionalism ya uovu? Kwamba wamekosea maana wameacha alama za wazi kuwa ni wao wameua? Omba upelekwe huko ukawafundishe namna ya kutrka na kuua bila ya kuacha alama.

Lakini wataalam wa uchunguzi wa mauaji, wanasema kila muuaji huacha alama ambayo wachunguzi hupata mahali pa kuanzia kufanya uchunguzi. Ila hawa wa kwetu hata wakibainika wazi kuwa ndio waliowaua, hawashtakiwi kwa sababu CCM imewatengenezea sheria ya kuwalinda.
 
TWISHI ufanya mauaji kwa namna Tofauti

Wanaweza wakakuacha “u survive to tell the tail” uku ukiwa kilema ili watu wengine waogopa maana utasimulia

Wanaweza wakakuua Kama ally kibao ili waliozunguka waogope

Au wanaweza wakakupoteza mazima kaka impact ya kifo chako itachafua upepo wa mob , yaan watu kuingia mtaani hapo wanakupoteza hili hata kimataifa ushahidi ukosekane, au ukapewa sumu utajiishia taratibu,

Mbali zaidi wakazima betri ya kifuani kwa manufaa mapana ya nchi baadae

Britanicca
 
Watanzania hatuna tofauti na hao wanyama!

20240909_064617.jpg
 
Hata sisi wa kawaida tunaona kuwa kundi hilo ni adui wa nchi wenye nia ya kuleta fujo.
Kwanini wamfuate kwenye gari na sio nyumbani kwake.
Unapajua nyumbani kwake wewe? Unadhani nmi rahisi sana mtu kufwata nyumbani kwake tu, je kama nyumbani kwa huyo mtu kuna kila aina ya ulinzi amabo ungesababibisha vita kubwa tu hata mpaka kubaini waliotumwa? Kwenye basi kama hujui ndio palikuwa rahisi zaid kwakuwa Marehemu asingeweza kutumia silaha yoyote mbele ya kundi la watu zaid angeweza kutii amri tu.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Zenye weledi ni zipo, sasahivi Nchi yeti haina taasisi imara zenye weledi Bali ila .....wanaimba mapambio, raising kafanya kila kitty.
 
Hata wewe hujui kitu kabisa kuhusu hayo mambo ndio maana umetoa njia mbili amabzo unahisi zingetumika ndio ingekuwa ujanja.
Kibao hakuwa mtu mjinga kama wengi wenu mnaojaribu kuomgea takataka, hizo nkjia ulizotaja ndio zilikuwa ngumu zaidi kumpata Kibao, huweszi kukaa naye tu kijinga kwa kujifanya abiria halafu eti umpulizie dawa au uende nyumbani kwake na vigari vyako vitatu na bunduki kijimnga ukamuue, hizo njia wangezitumia ndio leo hii ungewajua hao jamaa zenu hadharani, ni either wangemuacha mwenzao hapo na umma ungejua ni kina nani, kwenye basi ndio ilikuwa njia yao rahisi kwakuwa Kibao asingeweza kufanya fujo ndanmi ya lile gari wala kutumia silaha kirahisi kujilinda. Nyumbani au hata mtaani huwezi kumtarget mtu kizembe, je kama nyumbani anamiliki silaha zaid ya mlizokuja nazo? ccctv camera nazo? na mtaani tu je kama muda huo ameongozana na wabobevu wa hzio mambo mkakurupuka tu mkajikuta mnatungliwa nyinyin ia misheni ikagundulika klirahi?
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Tangu lini kuna taasisi yenye weledi Tanzania?
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Nchi ya kiboya sn,watu wana pingu na silaha afu polisi wapo kimya tu,me naamini mchezo wote polisi wanafahamu
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Genge hilo si ajabu Ni la watu Kama yule aliyekiri kufanya Mambo porini. Kwa kweli yule aliyekua mkuu wa wilaya ya Longido sio professional kabisa, au yule aliyesema "tukiwapoteza wapinzani msiwatafute' that guy was not professional.
Tatizo watu wenu wanabwatuka ovyo halafu kumbukumbu kichwani hawana kitu ambacho kinatufanya tuamini kabisa watu wenu sio professional assassins.
Do you need more evidence?
 
kabisa mkuu. kwa hiyo kama sio vyombo vya dola tulia anabidi akubali kuwa kuna dharura tanzania tunaelekea kuwa kama haiti kwamba raia tu wana machine guns wanaweza kuteka mtu hadharani so si salama.
Kumbe Tanzania kuna magenge ya kihalifu ambayo yanaweza kufanya lolote kwa wakati wowote na maisha yakaendelea, yaani watu wafyate mkia,

Genge likasimamiasha gari, na kuamrisha utii kifo, tena bus, (public transport), ulilopanda ukiamini litakufikisha nyumbani ukashuka na kiumbe kinacho kufuatilia, na maisha kwa wengine yakaendelea eti watu wasiojulikana
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessional assassins wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Ni sahihi, hata Lisu kupigwa risasi lilikuwa genge tu ambalo likashindwa kupiga on target na kupoteza risasi zaidi 30 huku 16 zikifika kwa mlengwa bila kutoa mafanikio.

Then hilo hilo genge likaenda kung'oa SiSITIVI, nops! kabla ya hapo liliondoa walinzi wa getini nyumbani kwa Lisu ili liingie bila likwazo.

Kwa kweli Jeshi letu lenye weledi wa kimedani za kivita ambalo halipitwi na taarifa yeyote ya kuashiria uvunjifu wa amani kutokana na mikusanyiko au demonstration ya chama mbadala na kuifhibiti ipasavyo haliwezi kufanya mambo ya hovyo kama haya.

Swali: Kwanini hili genge huwa linashindwa kukamatwa hata kama Rais atoe tamka la kusakwa?
 
Kwani Polisi/tiss wana weledi? Hayo si ni magenge yanayofanikisha uharamia wa CCM tu
Naona hata 'mabaka' siku hizi wameamua kushikamana na wahuni.
Kila penye kusanyiko la CCM utaona wawili watatu kati yao.

Ile heshima waliyokuwa wamejijengea kwa wananchi inaporomoka kila uchwao.
 
Back
Top Bottom