Mauaji ya Ally Mohamed Kibao hayajafanywa na taasisi zenye weledi, ni genge la watu tu ambao ni wahuni

Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Wengi tulishasema polisi-CCM hawana weledi wowote bali ni wahuni wanaotumiwa na utawala wa CCM. Naona mmeanza kukiri wenyewe. Hata Satifa alipata bahati ya kusalimika na kuja kusimulia kuwa muda wote waliokuwa naye walikuwa wanavuta bangi na kunywa pombe. Hawa ndiyo mapolisi wa CCM. Weledi hakuna.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Ni mfumo CCM na walaaniwe!
 
unaambiwa kakamatwa na polisi , ww bado unatuandikia ujinga wako , polisi huwa wanaongea mitaani kuwa ccmu ndo mtawala na wao wanalinda ugali so wataua yeyote yule na hamna cha kufanya
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane

MAANA YAKE NCHI IMESHINDIKANA. HAINA UONGOZI. KAMA GENGE HILO LINATEKA MTU KWENYE MWANGA KWA KUZUIA BUS NA LINAONDOKA NA MHUSIKA BILA TATIZO LOLOTE BASI HALI NI MBAYA SANA. NA HILO GENGE HALIJAANZA LEO. NA HUWA LINATUMIA MPAKA VITUO VYA POLICE KAMA OYSTERBAY N. K
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
Cha msingi state organs muunganishe nguvu kuwasaka.
Tuta shangaa msipowapata.
 
20240827_054013.jpg
haya ndio mnayoyahubiri huko lumumba.
 
Mimi ni CCM,ninakishauri chama changu kituletee mgombea!

Na mgombea anayeuzika na kukubalika kwa wananchi.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
turudi sasa polisi wamefanya nini kubaini hilo genge na upotevu wa watu wengine au tuseme wameshindwa kazi wakiri hadharani kwamba wameshindwa kulinda raia kila raia ajilinde mwenyewe?
Maana kama ingekuwa ni upinzani wanafanya haya, bila shaka wangefanya kazi fasta na kukusanya ushahidi kuwaonyesha kuwa hizi ni drama za wapinzani lakini hata huo ushahidi hawana. Yani kufikia sasa hawajasema chochote zaidi ya kusema sio wao na hasemi ni nani kama vile kazi yao ni kusema tu sio wao.
 
Nina imani kama ingekuwa ni proffessionals assassin wa kazi hizo, wala wasingeacha alama yoyote ile, wangetembea ndani ya mfumo wa maisha yake na angeondoka bila kuacha kelele. Kwenye basi humo humo proffessional wangempulizia sumu, au anakolala, akajiendea taratibu.

Nadhani ni kagenge ka wahuni tu ambako hakana accountability, na kanajifanya kako embedded kwa state.

Sisi tunatoa laana zote kwa genge hilo, lisakwe mpaka lipatikane
The gang …carying machine gun, Hand cuffs and driving Land cruiser car 😂😂😂😂😂😂! How can you tell people they are not Police
 
Back
Top Bottom