Zimmermann
JF-Expert Member
- Sep 28, 2010
- 3,506
- 2,606
Wewe walishakuonyesha huo weledi mpaka uwasifie? Hebu tuambia mfano mmoja wa kitu walichokifanya kwa weledi tangu awamu ya 5Jaribu uone weledi wa wqkali wa kazi hizo, unakutana na vihuni vya mitaani ndio unajumuisha Tiss na Polisi wote? Usiombe wakuonyeshe weledi wao