Hivi unajua kuwa by 1964 tayari Babu alikuwa ni Komandoo aliyekuwa amehitimu Havana ya Fidel!!? Kama hujui kaa kimya
Mapinduzi yale yaliongozwa na UMMA Party chini Babu akimshirikisha John Okelo, na Karume alipewa heshima tu kama kiongozi mkuu wa Chama kikubwa chau upinzani ili kuyafanya yaungwe mkono na wengi.
Wapige kamba wadogo na machalii wenzio.
UMMA Party kilikuwa kikundi kidogo cha akina Babu, basically cha waarabu radical.
Mapinduzi yale yalipangwa na wakulima, wakwezi na wapagazi ambao ndio walikuwa wengi.
Wengi hao walikuwa si wasomi.
Kina Abdalla Natepe, Ramadhani Haji Fakhi , Brigadier Himid wa kikosi cha Nyuki na waafrika wengine.
Wengi wao walikuwa dockworkers. Okello alikuwa kiungo mzuri kama "mnyamwezi" ~kundi la wakwezi na waoagazi. Alisaidia kuunda jeshi la waafrika zaidi ya 800 kushambulia waarabu~watawala.
Kuonyesha kwamba historia yako ni finyu, UMMA Party kilikuwa chama cha waarabu, split away kutoka ZNP, moja ya vyama viwili vya waarabu, kingine kikiwa ZPPP.
MSINGI wa mapinduzi kama hujui mkuu ni ubaguzi uliokithiri.
Ile tarehe 12 January Karume na Babu hawakuhusika moja kwa moja.
Karume alipelekwa Dar es salaam na Babu alikuwa hajulikani alipo.
Picha za awali kabisa zilimwonyesha "Field Narshal" John Okello, aliyekuwa kibarua bandarini.
Basic conflict kama huelewi vile vile, ni Africans versus Arabs, period.