Mauaji ya Karume 1972: Je, muuaji aliwahi kukamatwa na kushitakiwa?

Mauaji ya Karume 1972: Je, muuaji aliwahi kukamatwa na kushitakiwa?

Inabidi umwangalie ili ubalance story.

Mzee Baraka Shamte ni burudani sana kumsikiliza. Yaani anapinga kila kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app

huyo mzee ni mgonjwa wa akili kabisa 😂😂😂
yupo Sirius kabisa anamtuhumu baba yake ni mbaya.

Anamaisha mabovu sana CCM humtumia kwenye shughuli zao kama hizo na kumgaia hela ya kula.

Jamaa familia yake nzima imempotezea, MZee shamte alikua ana watoto wengi na wengi wao wametisua kimaisha ila huyu mzee wamempotezea tu.
 
Dk. Shein ndio humtumia sana. Ila ana hali ngumu.
huyo mzee ni mgonjwa wa akili kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
yupo Sirius kabisa anamtuhumu baba yake ni mbaya.

Anamaisha mabovu sana ccm humtumia kwenye shughuli zao kama hizo na kumgaia hela ya kula.
Jamaa familia yake nzima imempotezea, MZee shamte alikua ana watoto wengi na wengi wao wametisua kimaisha ila huyu mzee wamempotezea tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake yalifanyika kwa njia ya kupigwa Risasi.

Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?
Alipigwa risasi na maafisa usalama nje ya ofisi mara baada ya tukio
 
Huwa wanasubiri kura za maoni huko ccm ndio wanaanza kusingiziana ,usisahau SalimAhmed Salim 2005 wakati wa kura za maoni kugombea urais CCM alisingiziwa kuwa yeye ndio alimuua Karume.
Hii ni kusingiziwa Salim Ahmed ndio kwanza naisikia leo. Kwa uhakika kila mzanzibari ambae alikuwa hai mwaka 1972 awe mchanga au mzee anajua dhahiri kabisa ni nani na nani walimuua Karume. Kwanza kesi yote ya mahaini ilikuwa ikionyeshwa kwenye TVZ.

Yaani ilikuwa ikionyeshwa na kurudiwa kiasi kwamba kila mzanzibari alikuwa anayajua majina ya washitakiwa wote na kwa order ya wanavyoitwa katika kila siku ya kesi.

Kila mzanzibari anajua fika kuwa Homoud ndie aliemuua karume, lakini aliyepanga mapinduzi ni Abrahmani Babu kwa support ya mtu ambae Wazanzibari wote wanamjua na haikuwa hata siku moja siri kuwa Abrahmani Babu aliweza kuandaa jaribio la mapinduzi kwa sababu ya mtu huyo, na mtu huyo si Salem Ahmed Salem kabisa!!!!!!!
 
Nasikia alikuwa ofisa wa Jeshi Lt aliyesomea Cuba akilipiza kisasi cha kuuliwa baba yake!!
Not so sure thou----
 
Naomba nihame kidogo
Hiv ni kwann nchi alipewa karume na sio okello na baada ya mapinduzi okello alienda wap na pia je kama kiongozi wa mapinduz SMZ ilimpa reward gan
Na uraia wake ulikua sababu ya yy kukosa nafasi SMZ
labda tuanzie huku kabla ya kufikia tukio hlo la uhaini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakat fulani nilikua nikisikiliza bunge na mbunge fulani hivi alitamka kwamba Zanzibar haijawahi kuridhia muungano na wanasheria wa JK1 waliforge hati ya muungano ??
Kama kuna tetesi shujaa huyu aliuwawa na kuna watu fulani walihusika embu tuanzie kutrace tatizo kwenye muungano?
Je muungano ule na huu wa sasa una shida??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmajowapo kwenye picha hii ni Kanali Mahfudh. Je unadhani ni yupi?

1624127303450.png
 
Back
Top Bottom