Kama haikuwa revenge,
Lengo la kumuua ilikuwa nn?
wauwaji wake walifanya au walipata nn baada ya kumuua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu fatilia vizuri ile kesi. Sasa je Babu na Mahfoudh walihusika vipi kwenye revenge ya mtu na shemeji yake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama haikuwa revenge,
Lengo la kumuua ilikuwa nn?
wauwaji wake walifanya au walipata nn baada ya kumuua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuja zenji na jahaziSio asili mkuu ila ni Mmalawi, alizaliwa malawi na Zanzibar alihamia tu
Mwaka wa ngapi huu hawajakamatwa?Ila hii isiwe kama sbb ya ku back up kuhusu Lissu kupigwa risasi, na kujenga sbb za kijinga kusema hata waliompiga Lissu wanaweza wasikmatwe...
Crime is a crime.. Na kila crime is very very different..!!
So waliompiga Lissu risasi wasakwe kokote kule
Unasaka vipi watu unaowajuwa??Ila hii isiwe kama sbb ya ku back up kuhusu Lissu kupigwa risasi, na kujenga sbb za kijinga kusema hata waliompiga Lissu wanaweza wasikmatwe...
Crime is a crime.. Na kila crime is very very different..!!
So waliompiga Lissu risasi wasakwe kokote kule
Hao wanaosema hayo ni wahuni tu ambao wanampaka matope Mzee Mchonga kwa sababu zao za kisiasa.Mzee Mchonga kwa mbali nae anatajwa tajwa
Hahaa.....ndio maana naamini kabisa ccm ni chama Cha kigaidi na kishetani. Wakiamua wanasema ww sio raia alafu wakikuengua uchaguzi ukipita ww unakua raia mwema kabisaHuwa wanasubiri kura za maoni huko ccm ndio wanaanza kusingiziana ,usisahau SalimAhmed Salim 2005 wakati wa kura za maoni kugombea urais ccm alisingiziwa kuwa yeye ndio alimuua Karume .
Alipigwa risasi palepale na walinzi wa Karume!Suala la Lisu liweke pembeni shoga yangu. Mimi nimekuja na mauaji ya Jemedari na mwanamapinduzi Mzanzibari Abeid Karume.
Umamuamuru nani.Ila hii isiwe kama sbb ya ku back up kuhusu Lissu kupigwa risasi, na kujenga sbb za kijinga kusema hata waliompiga Lissu wanaweza wasikmatwe...
Crime is a crime.. Na kila crime is very very different..!!
So waliompiga Lissu risasi wasakwe kokote kule
Anaweza kuwa Jemedari, lakini inaweza kuwa jemedari wa nyumbani kwake, yaani kwa wake zake ambamo na wewe umo pamoja na wanae.hata Lissu ni jemedari mpambanaji na shujaa wa kipekee!
Kuwa alikuwa shemeji yake kwa mke mwarabu na jamaa zake wengi waliuawa wakt wa mapinduziNisikiavyo ni kuwa jamaa alijitoa mhanga kulipiza mauwaji ya Baba yake.
Naye alipigwa risasi pale pale..mchezo ukaishia hapoEmbu funguka kidogo, je alikamatwa?
Anaweza kuwa Jemedari, lakini inaweza kuwa jemedari wa nyumbani kwake, yaani kwa wake zake ambamo na wewe umo pamoja na wanae.
Soma kitabu hiki kina A to ZNimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake yalifanyika kwa njia ya kupigwa Risasi.
Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?
Mke wa Samora 07/04 ,na wanafanya maadhimisho kila mwaka,ni siku ya wanawake nchini mwao●Karume aliuliwa
●Kanumba nae aliuliwa.
●7-4-
"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
Kipumbwi Tanga, inasemekana ndio vibarua wa Mkonge waliweka kambi hapo, kusubiri usafiri wa kuwapeleka Unguja.Mkuu kitabu safi hiki,kilipelekea kupata hii ID name yangu licha ya kuwa nimeshafika sehemu tajwa ya ID ila mchango wake kwenye Uhuru wa Zanzibar uliniongezea maarifa!
Nimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake yalifanyika kwa njia ya kupigwa Risasi.
Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?