Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Okelli yes, Babu no!Wala Karume hakuwa jemadari wa mapinduzi yale, majemadari walikuwa wawili: John Okelo na Abdulrahaman Mohamed Babu.
Huyu alikabidhiwa uongozi kwa vile tayari alikuwa ni Rais wa Afro Shiraz Party. Kwanza hata siku yenyewe ya Mapinduzi alikuwa Dar es Salaam.
Jibu maswali ya huyo kijana ambae hajui hata historia ya nchi yake.Alikamatwa? Alinyongwa?
Hivi unajua kuwa by 1964 tayari Babu alikuwa ni Komandoo aliyekuwa amehitimu Havana ya Fidel!!? Kama hujui kaa kimya.Okelli yes, Babu no!
Wapige kamba wadogo na machalii wenzio.Hivi unajua kuwa by 1964 tayari Babu alikuwa ni Komandoo aliyekuwa amehitimu Havana ya Fidel!!? Kama hujui kaa kimya
Mapinduzi yale yaliongozwa na UMMA Party chini Babu akimshirikisha John Okelo, na Karume alipewa heshima tu kama kiongozi mkuu wa Chama kikubwa chau upinzani ili kuyafanya yaungwe mkono na wengi.
Mapimbi ninyi,Hivi ndivyo CCM inavyotaka watu waamini. Unaeleza ukweli nusu: Je, John Okelo alikuwa "Mnyamwezi?"
Je, kwa asili Washirazi ni Waarabu?
Kwa Nini Karume afichwe Dar badalaya kuwa kwenye uwanja wa mapambano!!? Na mwisho Abdulrahaman Mohamed Babu alijificha wapi kwa mujibu wako wewe?
tupe historia mzee.wengine hatukuwepo enzi hizo.so nani alihusika na mauaji hayo?Mapimbi ninyi,
mimi nimekaa Zanzibar na Pemba.
Nimewaona hao watu sikuhadithiwa.
Kwa vile huwajui Wazanzibari hata "Wanyamwezi" hujui wanamaanisha nini.
Hata mimi niliona hayo mahojiano AZAM UTV huyo mzee akielezea kilichotokea huku kwenye screen kwa chini kukiwa na maandishi yaliyotulia yakisema "dereva wa Karume aliyemuua muuaji wa Karume...."Nimeona mahojiano Azam UTV-Habari, wakimuhoji aliyekuwa dereva wa Mzee Karume na aliyempiga risasi muuaji wa Mzee Karume kwa kweli ni shujaa sana Serikali ya Zanzibar naiomba imkumbuke sana Mzee huyu maana anaonekana pia ana maisha magumu sana licha ya kuitumikia Nchi kwa moyo wa kijasiri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
tupe historia mzee.wengine hatukuwepo enzi hizo.so nani alihusika na mauaji hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
In fact Kamanda alikuwa ni Okelo akisaidiwa na Abdallah Natepe na Yusuf Himid.Okelli yes, Babu no!
Mastermind alikuwa nani? Usiwe unaleta hisia zako hapa, Mungu abakuona! Umeambiwa aliuawa kwa kisasi cha mtoto mtu!Hii kesi haina umuhim tena maana hata huyo alietuma (master mind) kuuliwa kwa Karume naye ni marehemu. Siku kama ya leo ni vyema kukumbuka kauli za marehemu Karume " Muungano ni kama koti likikubana unaweza kulivua"
Huwa nacheka sana nikitafakari kuhusu zanzibar, ikatokea ijitenge na Tanganyika, sidhani kama patakalika! Maana mawazo na akili za wanasiasa wake inafikirisha saana!Huwa wanasubiri kura za maoni huko ccm ndio wanaanza kusingiziana ,usisahau SalimAhmed Salim 2005 wakati wa kura za maoni kugombea urais CCM alisingiziwa kuwa yeye ndio alimuua Karume.
Du kumbe hata Karume aikuwa muuaji kama swahiba wake, Nyerere na huyu kiongozi wa sasa?Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru
Hakuna umuhimu tena wa kujuwa mastermind naye ni marehem pia. Tukumbuke kauli tu mkuu. Usipanic mastermind anajuulikana na sababu yake ilikuwa ni nini is well known.Mastermind alikuwa nani? Usiwe unaleta hisia zako hapa, Mungu abakuona! Umeambiwa aliuawa kwa kisasi cha mtoto mtu!