mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
MKuu unatupa muda wako kumuangalia Baraka Shamte?
Inabidi umwangalie ili ubalance story.
Mzee Baraka Shamte ni burudani sana kumsikiliza. Yaani anapinga kila kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mzee ni mgonjwa wa akili kabisa [emoji23][emoji23][emoji23]
yupo Sirius kabisa anamtuhumu baba yake ni mbaya.
Anamaisha mabovu sana ccm humtumia kwenye shughuli zao kama hizo na kumgaia hela ya kula.
Jamaa familia yake nzima imempotezea, MZee shamte alikua ana watoto wengi na wengi wao wametisua kimaisha ila huyu mzee wamempotezea tu.
Jemedari na mwanamapinduzi wa kweli alikuwa John Gideon Okello hao wengine ni wabaka mapinduzi tuJay One,
Suala la Lisu liweke pembeni shoga yangu. Mimi nimekuja na mauaji ya Jemedari na mwanamapinduzi Mzanzibari Abeid Karume.
Alipigwa risasi na maafisa usalama nje ya ofisi mara baada ya tukioNimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake yalifanyika kwa njia ya kupigwa Risasi.
Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?
kumbe mabeberu tabia ya kutuita madikteta wameanza kitambo😂Mabeberu waliandika hivi: ZANZIBAR KILLING LAID TO SOLDIER
Hii ni kusingiziwa Salim Ahmed ndio kwanza naisikia leo. Kwa uhakika kila mzanzibari ambae alikuwa hai mwaka 1972 awe mchanga au mzee anajua dhahiri kabisa ni nani na nani walimuua Karume. Kwanza kesi yote ya mahaini ilikuwa ikionyeshwa kwenye TVZ.Huwa wanasubiri kura za maoni huko ccm ndio wanaanza kusingiziana ,usisahau SalimAhmed Salim 2005 wakati wa kura za maoni kugombea urais CCM alisingiziwa kuwa yeye ndio alimuua Karume.
Tatizo la ukweli huwa ni mchungu na hauwapendezi wengi..huyo "gwiji wa historia" hapa hana issue kwa sababu aiyeua Mchaga na aliyeuliwa Mchaga na nchi ni ya Wachaga watupu.... pardon the pun
mtanzania in exile,
Malizia tu mkuu, Mastermind ni mzee wa kifimbo