Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
- Thread starter
- #41
Nimesikia Leo kauliwa na wapinga maendeleoNisikiavyo ni kuwa jamaa alijitoa mhanga kulipiza mauwaji ya Baba yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikia Leo kauliwa na wapinga maendeleoNisikiavyo ni kuwa jamaa alijitoa mhanga kulipiza mauwaji ya Baba yake.
Kuna utata Mwingi juu ya muuaji au wauaji.Mauaji ya Marais wengi japo wana ulinzi imara huwa yana utata sana tena sana.
Ila hii isiwe kama sbb ya ku back up kuhusu Lissu kupigwa risasi, na kujenga sbb za kijinga kusema hata waliompiga Lissu wanaweza wasikmatwe...
Crime is a crime.. Na kila crime is very very different..!!
So waliompiga Lissu risasi wasakwe kokote kule
Mtaa alikozaliwa jamaa na ukoo wake ndio chimbuko la CUFNisikiavyo ni kuwa jamaa alijitoa mhanga kulipiza mauwaji ya Baba yake.
Kuna mdau kafunguka hapo juuNani alimaster mind kuuliwa kwake ?
Wenye akili kubwa tumekuelewa, "gwiji wa historia" hawezi kuja, hata yule Bibi hawezi kuja kujibu.huyo "gwiji wa historia" hapa hana issue kwa sababu aiyeua Mchaga na aliyeuliwa Mchaga na nchi ni ya Wachaga watupu.... pardon the pun
Mtoa mada uliishia darasa la ngapi?Nimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake yalifanyika kwa njia ya kupigwa Risasi.
Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?
Jibu maswali ya huyo kijana ambae hajui hata historia ya nchi yake.Alikamatwa? Alinyongwa?Nisikiavyo ni kuwa jamaa alijitoa mhanga kulipiza mauwaji ya Baba yake.
Maana yake nn?Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru
Hiki kitabu unacho? Kina nini ndani yakeKwa heri ukoloni, kwa heri uhuru
Mapundizi matukuf walikamilisha,wakabakisha uhuru.Kwa heri ukoloni, kwa heri uhuru
Nisikiavyo ni kuwa jamaa alijitoa mhanga kulipiza mauwaji ya Baba yake.
Mtaa alikozaliwa jamaa na ukoo wake ndio chimbuko la CUF
Yes ilikuwa revenge
Suala la Lisu liweke pembeni shoga yangu. Mimi nimekuja na mauaji ya Jemedari na mwanamapinduzi Mzanzibari Abeid Karume.
Wala Karume hakuwa jemadari wa mapinduzi yale, majemadari walikuwa wawili: John Okelo na Abdulrahaman Mohamed Babu.Suala la Lisu liweke pembeni shoga yangu. Mimi nimekuja na mauaji ya Jemedari na mwanamapinduzi Mzanzibari Abeid Karume.
Hata Hata Leo siku ya Karume mjbu tuNenda kaulize Zanzibar, acha utoto