Mauaji ya Karume 1972: Je, muuaji aliwahi kukamatwa na kushitakiwa?

Mauaji ya Karume 1972: Je, muuaji aliwahi kukamatwa na kushitakiwa?

Ila hii isiwe kama sbb ya ku back up kuhusu Lissu kupigwa risasi, na kujenga sbb za kijinga kusema hata waliompiga Lissu wanaweza wasikmatwe...

Crime is a crime.. Na kila crime is very very different..!!

So waliompiga Lissu risasi wasakwe kokote kule

Kweli binadamu tumetofautiana, swali limeulizwa innocently,.na jibu bado halijapatikana ushaingiza issue ya Lissu. Liss ana wake wangapi? Umeboa bana
 
huyo "gwiji wa historia" hapa hana issue kwa sababu aiyeua Mchaga na aliyeuliwa Mchaga na nchi ni ya Wachaga watupu.... pardon the pun
Wenye akili kubwa tumekuelewa, "gwiji wa historia" hawezi kuja, hata yule Bibi hawezi kuja kujibu.
 
Nimekuwa nikipata habari kuwa jabali la siasa za Zanzibar aliuliwa na Askari jeshi nje ya makao makuu ya chama cha ASP majira ya jioni tarehe 07/04/1972 alipokuwa akicheza bao. Mauaji yake yalifanyika kwa njia ya kupigwa Risasi.

Ni upi wasifu wa askari huyu muuaji wa shujaa huyu na je alikamatwa na kushitakiwa? Alifungwa au alinyongwa?
Mtoa mada uliishia darasa la ngapi?
 
●Karume aliuliwa
●Kanumba nae aliuliwa.
●7-4-

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Suala la Lisu liweke pembeni shoga yangu. Mimi nimekuja na mauaji ya Jemedari na mwanamapinduzi Mzanzibari Abeid Karume.
Wala Karume hakuwa jemadari wa mapinduzi yale, majemadari walikuwa wawili: John Okelo na Abdulrahaman Mohamed Babu.

Huyu alikabidhiwa uongozi kwa vile tayari alikuwa ni Rais wa Afro Shiraz Party. Kwanza hata siku yenyewe ya Mapinduzi alikuwa Dar es Salaam.
 
Back
Top Bottom