Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Ni kweli Mkuu. Nitaweka namba za watoto wa Wahanga hapa muda sio mrefu ili serikali iwasaidie Mkuu...
Poleni sana

Ukifatilia jambo hilo la Mauaji kwa hao Watu Wazima inaonesha kuna Imani za Kishirikina wanahusishwa nazo.

Jambo wasilojua kuwa Sio kila Mzee ni Mchawi, wakati mwingine wakikuona una Macho mekundu tayari wanasema ni Mchawi.

Watanzania tupunguze Imani za Kishirikina
 
Poleni kwa Msiba uliotokana na Mauaji hayo ya Kinyama.

Ushauri wangu pamoja na hizo taratibu za mazishi yaliyofanyika, kuna haja Huyo Mhe. Diwani awekwe mahabusu kwaajili ya kusaidia Upelelezi.

Lakini kuna haja nanyi Wananchi mzizonge zonge Mamlaka kuwataka wawasaidie kupunguza hayo Mauaji, maana kupitia maelezo yako ni kuwa Vifo vya namna hiyo vimekuwa vingi hapo Mwanga.
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Poleni sana

Ukifatilia jambo hilo la Mauaji kwa hao Watu Wazima inaonesha kuna Imani za Kishirikina wanahusishwa nazo.

Jambo wasilojua kuwa Sio kila Mzee ni Mchawi, wakati mwingine wakikuona una Macho mekundu tayari wanasema ni Mchawi.

Watanzania tupunguze Imani za Kishirikina
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT.

Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama kuku! Haijaishia hapo, watu hao walimpiga mume wa marehemu kichwani na kumkata mkono, na baadae ya mauaji hayo watuumia walitokomea kusiko julikana! Chakushangaza baada ya polisi kupewa taarifa, walifika 2/11 na kiuchukua mwili na kuupeleka mochwari ya Kijiji inayoitwa Kifula, na 3/11 ndugu wa marehemu waliofuatilia hilo swala wakaambiwa na CID wa wilaya kwamba wanaweza wakauzika huo mwili! Msaada hii familia inayohitaji ni ifuatayo:
1. Kwa nini police iruhusu mwili uzikwe angali upelelezi/majibu ya mauaji hayajakamilika/hayajatolewa kwa familia?
2. Mauaji haya siyo ya kwanza kwani Kuna watu wengine walisha uliwa Kwa mazingira kama haya na hakukuwa na ufwatiliaji wa polisi, hvyo inaonekana mauaji haya Yana baraka ya polisi/Mkuu wa wilaya!
3. Diwani wa eneo hilo (Maradona), wiki mbili kabla ya mauaji haya, aliitaka familia hii imrudishe marehe nyumbani kwake kwani aliwahakikishia usalama wake, na baada ya marehemu kurudi tu, ndipo mauaji haya yakafanyika! Je bwana Maradona hajahusika katika mauaji hay? Pia izingatiwe kuwa Maradona anaundugu na watuhumiwa (mfano ni urafiki/ukaribu wake na bwana Mashauri ambaye ni kati ya watuhumiwa wa mauaji haya), hvyo anatumia cheo chake cha udiwani kuiangamiza hii familia.
4. Je usalama wa hiyo familia itakuwa mikononi mwa nani? Ikizingatiwa hii familia inaendelea kupokea vitisho kutoka katika familia ya Mashauri? Ikumbukwe, mume wa marehemu ni mgonjwa Sana baada yakukatwa kichwani na kuvunjwa mkono, pia mtoto mkuwa wa marehemu (Judika Yohana Mfinanga) anaendelea kupokea vitisho toka Kwa bwana Mashauri.

Maziko yanatakiwa kufanyika kesho juma tatu, ila chondochonde Mheshiwa Raisi, naomba uingilie kati mauaji haya na ikiwezekana marehemu asizikwe kesho mpaka uchunguzi wakina ufanyike.

CC:
1. Mkuu wa wilaya ya mwanga
2. CID mwanga
3.Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro
4. @PaulMakonda
5. Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
6. Mh. Raisi
7.Vyombo vya habari mkoa wa Kilimanjaro

NB: Samahani kwa uandishi mbaya.
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412

CC: Mh. @ngwajima
 
Hapo makonda anaingia kama nani?
Mkuu samahani sipo hapa kubishana/kulumbana, kama unauwezo wasaidie hii familia Mkuu wangu:
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Na pia rekebisha kichwa cha habari,hayo si mauaji ya kutisha,mauaji ya Kanyanabo kama sikosei yalitokea Shinyanga ndio yalikuwa hatari maana mpaka vitoto vidogo vilipigwa mapanga kama sehemu ya kulipiza kisasi,tafuta kuna Uzi humu unaoelezea yale mauaji
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Ficha ujinga wako basi.
 
Jamani wenye mamlaka isaidieni hii familia ....
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
 
Kisa chako kinaacha maswali yasiyojibika, chanzo cha ugomvi ni nini? Kwanini mpaka diwani kaingia kwenye mgogoro na hii familia? Kwanini mpaka polisi wanachelewa kwenye eneo la tukio? Toa maelezo kuhusu hii familia.
 
Asante Mkuu. Ila isaidie hii familia kama unauwezo Mkuu:
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
Mkuu niko mbali hivyo siwezi. Hao watoto hawawezi kufuatilia? Unajua inatakiwa watoto/ndugu ndiyo wawe mstari wa mbele ku-push ili watu wanaoweza kutoa msaada watoe
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT.

Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama kuku! Haijaishia hapo, watu hao walimpiga mume wa marehemu kichwani na kumkata mkono, na baada ya mauaji hayo watuumiwa walitokomea kusikojulikana!

Cha kushangaza baada ya polisi kupewa taarifa, walifika 2/11 na kiuchukua mwili na kuupeleka mochwari ya Kijiji inayoitwa Kifula, na 3/11 ndugu wa marehemu waliofuatilia hilo suala wakaambiwa na CID wa wilaya kwamba wanaweza wakauzika huo mwili!

Msaada hii familia inayohitaji ni ifuatayo:

1. Kwanini police iruhusu mwili uzikwe angali upelelezi/majibu ya mauaji hayajakamilika/hayajatolewa kwa familia?

2. Mauaji haya siyo ya kwanza kwani Kuna watu wengine walishauliwa katika mazingira kama haya na hakukuwa na ufuatiliaji wa polisi, hivyo inaonekana mauaji haya Yana baraka ya polisi/Mkuu wa wilaya!

3. Diwani wa eneo hilo (Maradona), wiki mbili kabla ya mauaji haya, aliitaka familia hii imrudishe marehemu nyumbani kwake kwani aliwahakikishia usalama wake, na baada ya marehemu kurudi tu, ndipo mauaji haya yakafanyika! Je bwana Maradona hajahusika katika mauaji haya? Pia izingatiwe kuwa Maradona ana undugu na watuhumiwa (mfano ni urafiki/ukaribu wake na bwana Mashauri ambaye ni kati ya watuhumiwa wa mauaji haya), hivyo anatumia cheo chake cha udiwani kuiangamiza hii familia.

4. Je, usalama wa hiyo familia itakuwa mikononi mwa nani? Ikizingatiwa hii familia inaendelea kupokea vitisho kutoka katika familia ya Mashauri? Ikumbukwe, mume wa marehemu ni mgonjwa Sana baada yakukatwa kichwani na kuvunjwa mkono, pia mtoto mkuwa wa marehemu (Judika Yohana Mfinanga) anaendelea kupokea vitisho toka Kwa bwana Mashauri.

Maziko yanatakiwa kufanyika kesho juma tatu, ila chondochonde Mheshiwa Raisi, naomba uingilie kati mauaji haya na ikiwezekana marehemu asizikwe kesho mpaka uchunguzi wakina ufanyike.

CC:
1. Mkuu wa wilaya ya mwanga
2. CID mwanga
3.Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro
4. @PaulMakonda
5. Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
6. Mh. Raisi
7.Vyombo vya habari mkoa wa Kilimanjaro

NB: Samahani kwa uandishi mbaya.
We Acha kutaka kuangushia jumba bovu kwa polisi, we mwenyewe unaonyesha unaweza kuisadia polisi kufanikisha uchunguzi maana unaonesha unajua mengi kuhusiana na mkasa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
MUNGU akubariki Mkuu. @Enyi wenye mamlaka wilaya ya Mwanga, please isaidieni hii familia...
 
Wakuu nawasalimu kwa jina la JMT.

Jana nilifanikiwa kufika Wilayani Mwanga katika Kijiji cha Mangyo, kitongoji cha Vongo B. Kuna Mama mwenye umri wa zaidi ya miaka 80, ambaye tarehe 01/11 majira ya saa 1:45 Usiku, wakati akipika chakula chake cha usiku, alivamiwa na kuchinjwa shingo yake kama kuku! Haijaishia hapo, watu hao walimpiga mume wa marehemu kichwani na kumkata mkono, na baada ya mauaji hayo watuumiwa walitokomea kusikojulikana!

Cha kushangaza baada ya polisi kupewa taarifa, walifika 2/11 na kiuchukua mwili na kuupeleka mochwari ya Kijiji inayoitwa Kifula, na 3/11 ndugu wa marehemu waliofuatilia hilo suala wakaambiwa na CID wa wilaya kwamba wanaweza wakauzika huo mwili!

Msaada hii familia inayohitaji ni ifuatayo:

1. Kwanini police iruhusu mwili uzikwe angali upelelezi/majibu ya mauaji hayajakamilika/hayajatolewa kwa familia?

2. Mauaji haya siyo ya kwanza kwani Kuna watu wengine walishauliwa katika mazingira kama haya na hakukuwa na ufuatiliaji wa polisi, hivyo inaonekana mauaji haya Yana baraka ya polisi/Mkuu wa wilaya!

3. Diwani wa eneo hilo (Maradona), wiki mbili kabla ya mauaji haya, aliitaka familia hii imrudishe marehemu nyumbani kwake kwani aliwahakikishia usalama wake, na baada ya marehemu kurudi tu, ndipo mauaji haya yakafanyika! Je bwana Maradona hajahusika katika mauaji haya? Pia izingatiwe kuwa Maradona ana undugu na watuhumiwa (mfano ni urafiki/ukaribu wake na bwana Mashauri ambaye ni kati ya watuhumiwa wa mauaji haya), hivyo anatumia cheo chake cha udiwani kuiangamiza hii familia.

4. Je, usalama wa hiyo familia itakuwa mikononi mwa nani? Ikizingatiwa hii familia inaendelea kupokea vitisho kutoka katika familia ya Mashauri? Ikumbukwe, mume wa marehemu ni mgonjwa Sana baada yakukatwa kichwani na kuvunjwa mkono, pia mtoto mkuwa wa marehemu (Judika Yohana Mfinanga) anaendelea kupokea vitisho toka Kwa bwana Mashauri.

Maziko yanatakiwa kufanyika kesho juma tatu, ila chondochonde Mheshiwa Raisi, naomba uingilie kati mauaji haya na ikiwezekana marehemu asizikwe kesho mpaka uchunguzi wakina ufanyike.

CC:
1. Mkuu wa wilaya ya mwanga
2. CID mwanga
3.Mkuu wa mkoa wa Kilimajaro
4. @PaulMakonda
5. Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
6. Mh. Raisi
7.Vyombo vya habari mkoa wa Kilimanjaro

NB: Samahani kwa uandishi mbaya.
 
Attachments

  • 5272D6A2-B306-4036-998B-1D0E10ED555D.jpeg
    5272D6A2-B306-4036-998B-1D0E10ED555D.jpeg
    136.1 KB · Views: 3
We Acha kutaka kuangushia jumba bovu kwa polisi, we mwenyewe unaonyesha unaweza kuisadia polisi kufanikisha uchunguzi maana unaonesha unajua mengi kuhusiana na mkasa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu, nimeweka namba za familia ili iweze kusaidika. Mimi mwenyewe nipo tayari wakati wowote Mkuu, ni kwamba sina mamlaka yoyote Mkuu wangu. Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
nawe ficha UCHOKO wako,kauawa mtu mmoja unaandikaje MAUAJI YA KUTISHA,wangeuawa 10 je??ni mauaji ya kawaida tu hayo

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mauaji ya kutisha yanaweza kuwa hata kwa mtoto mmoja mdogo wa mwezi mmoja. Unabisha na kuzidi kuanika ujinga wako. Kama wewe hutishwi na kifo cha kikatili cha mtu mmoja, basi duniani wengi wanatishika.
 
Back
Top Bottom