Mauaji ya kutisha yafanyika Wilayani Mwanga. Rais tafadhali ingilia kati uisaidie hii familia

Ni kweli Mkuu. Nitaweka namba za watoto wa Wahanga hapa muda sio mrefu ili serikali iwasaidie Mkuu...
Poleni sana

Ukifatilia jambo hilo la Mauaji kwa hao Watu Wazima inaonesha kuna Imani za Kishirikina wanahusishwa nazo.

Jambo wasilojua kuwa Sio kila Mzee ni Mchawi, wakati mwingine wakikuona una Macho mekundu tayari wanasema ni Mchawi.

Watanzania tupunguze Imani za Kishirikina
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412

CC: Mh. @ngwajima
 
Hapo makonda anaingia kama nani?
Mkuu samahani sipo hapa kubishana/kulumbana, kama unauwezo wasaidie hii familia Mkuu wangu:
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
Ficha ujinga wako basi.
 
Jamani wenye mamlaka isaidieni hii familia ....
 
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
 
Kisa chako kinaacha maswali yasiyojibika, chanzo cha ugomvi ni nini? Kwanini mpaka diwani kaingia kwenye mgogoro na hii familia? Kwanini mpaka polisi wanachelewa kwenye eneo la tukio? Toa maelezo kuhusu hii familia.
 
Asante Mkuu. Ila isaidie hii familia kama unauwezo Mkuu:
Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
Mkuu niko mbali hivyo siwezi. Hao watoto hawawezi kufuatilia? Unajua inatakiwa watoto/ndugu ndiyo wawe mstari wa mbele ku-push ili watu wanaoweza kutoa msaada watoe
 
We Acha kutaka kuangushia jumba bovu kwa polisi, we mwenyewe unaonyesha unaweza kuisadia polisi kufanikisha uchunguzi maana unaonesha unajua mengi kuhusiana na mkasa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii inaonekana ni kesi ambayo adui wa marehemu wanajulikana waziwazi. Polisi wanafanya nini kuwakamata hao washukiwa kabla hawajaharibu ushahidi?
MUNGU akubariki Mkuu. @Enyi wenye mamlaka wilaya ya Mwanga, please isaidieni hii familia...
 
Attachments

  • 5272D6A2-B306-4036-998B-1D0E10ED555D.jpeg
    136.1 KB · Views: 3
We Acha kutaka kuangushia jumba bovu kwa polisi, we mwenyewe unaonyesha unaweza kuisadia polisi kufanikisha uchunguzi maana unaonesha unajua mengi kuhusiana na mkasa huo

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu, nimeweka namba za familia ili iweze kusaidika. Mimi mwenyewe nipo tayari wakati wowote Mkuu, ni kwamba sina mamlaka yoyote Mkuu wangu. Namba za wahanga ni: 0766430284 0689512555 & 0672740412
 
nawe ficha UCHOKO wako,kauawa mtu mmoja unaandikaje MAUAJI YA KUTISHA,wangeuawa 10 je??ni mauaji ya kawaida tu hayo

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Mauaji ya kutisha yanaweza kuwa hata kwa mtoto mmoja mdogo wa mwezi mmoja. Unabisha na kuzidi kuanika ujinga wako. Kama wewe hutishwi na kifo cha kikatili cha mtu mmoja, basi duniani wengi wanatishika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…