HApo ndipo mchecheto unaponianzia wazee!kwani ile ina kuwa kwenye koro ile?Unaweza kuwa na prostate cancer(Nina wasiwasi hio njegere unayoiongelea inawezakuwa tumor!nenda kwa daktari akuchunguze!
HApo ndipo mchecheto unaponianzia wazee!kwani ile ina kuwa kwenye koro ile?
Taratibu mkuu!wanaondoa korodani au uvimbe?mbona unanifanya roho idundie kwenye utosi!Ndio inakuwa kwenye korodani na ikiwa ndio hio kama haijasambaa kwenye korodani zote inabidi hio iloathirika iomdolewe
nenda kwa daktari atakupa majibu yote kuhusu huo uvimbe!mm siwezi kulipa diagnosis lazima ufanyiwe physical examination!Taratibu mkuu!wanaondoa korodani au uvimbe?mbona unanifanya roho idundie kwenye utosi!
Nashukuru ndugu yangu kwa ushauri ila ukweli roho inanidunda kupita maelezo!nitatimba kwa dokta kesho duh!nenda kwa daktari atakupa majibu yote kuhusu huo uvimbe!mm siwezi kulipa diagnosis lazima ufanyiwe physical examination!
....... Hasa upande mmoja mpaka inakuwa kero ukikaa kwenye pikipiki au
baiskeli ndo usiseme, tatizo huwa nini?