Habari zenu waungwana wana JF,
Tafadhali mniwie radhi kama nitakua nimetumia lugha kali hapo juu, msaada tutani mimi ni kijana 29yrs na nimeoa +mtoto mmoja, nimekua na tatizo la korodani/pumbu yangu moja kama sehemu ya mwili wangu kuuma na kuvimba yani inakua inavimba na kupungua na kuvimba tena viceversa,
Tatizo hili nlikua nalo kabla sijaoa ila lilikua linatokea kwa mda mfupi kama dk 25 then nakua normal lakini sikuhizi naeza nikakaa mpaka saa mzima na ndio mana nimeona kabla ya kuenda mbele zaidi nililete kwenu waungwana japo tuelimishane kuhusu swala hili, nawasilisha,
Thanks and God bless you all.