Umeninukuu vibaya bro. Mimi nimesema ulichokiandika. Wala sijakuhukumu umesema makosa madogo madogo right? Maoni yangu sio kukuhukumu, Nimekwambia Shukuru Mungu uendelee na Mengine.Makosa hamna mkuu usinihukumu
Kwahiyo Ukaona HiiJiajiri kwa kazi ndogo ndogoView attachment 3145301
Vizuri. Ugumu wa hilo unatokana na situation alionayo kwasasa, kufikiri kujiajiri huwa ngumu sana baada tu ya kutoka kupigwa chini. She needs sometime to clear her head and get off "salary honeymoon". Akisharud kwenye uhalisia ndio huonushaur wako utamfaa ndio maana nikasema sio rahis kihivyo.Sio rahis ila hakuna jibu lingine la kupata unavyotafuta mbadala wa kuajiriwa. Ni ngumu kuelewa na kukubali, ila kama kun jibu lingine nje ya hili pia litamfaa aliseme hapa tumshauri
Karibu..Dah bro natamani nije inbox tuyajenge
AhsanteKaribu..
Ajira ni kianzio, ajira inabid baadhi yetu tuielewe kama alternative mana kujiajiri pay more. Tukikubali kuwa ajira ni kianzio cha maisha ya kijana tutaulizana ni ipi stage ya pili?. Utaona kujiajir ndo jibu, kinachitkiwa ni kubadili plan B kuwa A. Matatizo mengine yanasababishwa na vipaumbeleVizuri. Ugumu wa hilo unatokana na situation alionayo kwasasa, kufikiri kujiajiri huwa ngumu sana baada tu ya kutoka kupigwa chini. She needs sometime to clear her head and get off "salary honeymoon". Akisharud kwenye uhalisia ndio huonushaur wako utamfaa ndio maana nikasema sio rahis kihivyo.
Japo it depends na mtu.
Ajira na mshahara is a dangerous dopamine.
Hata baada ya kujiajiri itamchukua muda kutotaman kurud kwwnye ajira.
It took me 6 months kukaa kujiajiri lakin hata baada ya kijiajir nikawa akil badoninataman kuajiriwa maana ndio ilikua my lifetime experience, sasa si rahis kuachana nayo. Baada ya muda nika cease kijibiashara changu nikarud tena kuajiriwa. Mpaka nilipopigwa tena chini ndio nikaona anhaa kumbe bora ni stick na one idea. Hapo ndio nika move on
Mkuu mbona hilo dogo.Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula
Ushauri wenu una hitajika nifanyaje niwe sawa na wale waliopitia Hali kama hii tupeni uzoefu wenu mlivuka vipi
Asante
Nilikwambia ujenge geto lako, ona sasa umefukuzwa kwenye geto la shangazi!!!Mkuu unajua maumivu ya kufukuzwa na mshangazi..
Assume tuu ndo kwanza penzi halijamaliza hata week 3 anaanza kukuambia ety sijiheshimu..
Mkuu haujapata experience kama hiyo wewe .
Utatamani ardhi ipasuke mkuu
Ha ha ha ha haSababu ya kufukuzwa mpaka Sasa sijui boss alianza kunichukia bila sababu Kwa makosa madogo madogo Mungu amlaani huko alipo
Hongera saana mkuu, una mambo mengi ambayo vijana tunahitaji kuchukua kutoka kwako.Vizuri. Ugumu wa hilo unatokana na situation alionayo kwasasa, kufikiri kujiajiri huwa ngumu sana baada tu ya kutoka kupigwa chini. She needs sometime to clear her head and get off "salary honeymoon". Akisharud kwenye uhalisia ndio huonushaur wako utamfaa ndio maana nikasema sio rahis kihivyo.
Japo it depends na mtu.
Ajira na mshahara is a dangerous dopamine.
Hata baada ya kujiajiri itamchukua muda kutotaman kurud kwwnye ajira.
It took me 6 months kukaa kujiajiri lakin hata baada ya kijiajir nikawa akil badoninataman kuajiriwa maana ndio ilikua my lifetime experience, sasa si rahis kuachana nayo. Baada ya muda nika cease kijibiashara changu nikarud tena kuajiriwa. Mpaka nilipopigwa tena chini ndio nikaona anhaa kumbe bora ni stick na one idea. Hapo ndio nika move on
Ajichanganye aoneee 😁Uajiriwe alafu bos ndo TUKANA UONE 😂
Shukran mkuu, naamin kila mtu anachoweza jifunza toka kwa mwenzakeHongera saana mkuu, una mambo mengi ambayo vijana tunahitaji kuchukua kutoka kwako.