Maumivu ya kufukuzwa kazi hayaelezeki

Mkuu pole sana, jikung'unte vumbi usogee mbele.
 
Tatizo lako ulikuwa chawa mbona kawaida sana...sisi wengine tulishasepeshwa na tukakomaa mtaani sana sahivi ninavyokwambia aliyekuwa boss wangu ananikopa sana tu.
 
Mimi nakushauri kuwa USITHUBUTU KUSOGELEA CHAKULA MAHALA POPOTE TANGIA SAA HII.
 
Waeleze hasa wale CIVIL SERVANTS!
Wanatunyanyasa sana kwenye kutoa huduma! Wakisahau kodi zetu ndizo zinazowapa malazi, chakula na kuhudumia familia zao!
 
2017 yalinikuta maumivu hayo. Tena nikiwa nje ya nchi. Hata hamu ya kula haikuwepo, Nilikonda nkawa mwembamba sana kwa siku chache sana. Lakn now nnafuraha cz nna company ya Contractor upande wa Mechanical and Electrical. Japo cjaanza kupata tenda lakn moyon nina amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…