Maumivu ya wana Yanga kwakunyimwa goli ni nusu tu ya maumivu wanayopitia wananchi wanapoibiwa kura na CCM

Lengo ni kuingiza mpira kwenye sio wale wa waamuzi wenu kutoka tanga au mbeya haujavuka twende kati!
Unamaana wewe hukuona mpira umevuka mstari?lkn huku si sehemu yake twende kwenye sports arena
 
Mods, sikufurahishwa na mada yangu kuichanganya na mada za mrengo wa kisiasa, uchaguzi sijui uchungu wa wa kura, huko hawajui idadi ya wanachama wao hai ni wangapi?
 
Yani yule Refa nikikutana nae wallah ama zake ama zangu.
Siwezi kupata presha hadi kuwekewa dripu kwa sababu ya upuuzi wa yule refa halafu nikutane nae nimuache mshenzi sana
 
Mods, sikufurahishwa na mada yangu kuichanganya na mada za mrengo wa kisiasa, uchaguzi sijui uchungu wa wa kura, huko hawajui idadi ya wanachama wao hai ni wangapi?
Hai kivipi??

Yaani uanachama umekuwa - digitalized halafu hai wangapi isijulikane??

Yaani nyie watu inakuwaje viongozi wenu wanawageuza kama mifugo yao Kwa kuwalisha hoja za kiuongo Kila siku??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…