Unamaana wewe hukuona mpira umevuka mstari?lkn huku si sehemu yake twende kwenye sports arenaLengo ni kuingiza mpira kwenye sio wale wa waamuzi wenu kutoka tanga au mbeya haujavuka twende kati!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaana wewe hukuona mpira umevuka mstari?lkn huku si sehemu yake twende kwenye sports arenaLengo ni kuingiza mpira kwenye sio wale wa waamuzi wenu kutoka tanga au mbeya haujavuka twende kati!
Mdau amepost Hata SABC Tv walishaandika Yanga 1-0 Mamelodi wakati refa anachakachua na watu wa varVAR COULD BE USELESS!
YANGA - 1,MAMELODY-0.
Simba shughulikeni na yenu!
Nani kapost, tupe na sisi tuone.Mdau amepost Hata SABC Tv walishaandika Yanga 1-0 Mamelodi wakati refa anachakachua na watu wa var
Walijilipia wenyeweSimba wao hawakulipiwa nauli?
Huyo Mbaga ni mwanaccm mwenzako. Punguza ukali wa maneno huu mchezo hauhitaji hasiraMisukule ya Mbowe iko kama yote inapelekewaga Moto aisee
👇🏿Nani kapost, tupe na sisi tuone.
Ungevuka ingekua goli!Unamaana wewe hukuona mpira umevuka mstari?lkn huku si sehemu yake twende kwenye sports arena
Vipi nawe upo kwenye maumivu maana kama hukupatwa south umekanyagwa misri!Naona bado upo na hangover za mataputapu ( kimpumu)
Mmawia siasa za bongo ni maigizo ukizishupalia sana ni kupoteza muda wako,baki ila usizame sana zikakutawala kichwa.Wewe lazima utakuwa ni mwana ccm
Yani yule Refa nikikutana nae wallah ama zake ama zangu.Maumivu ya wana Yanga yanaweza yakawa maumivu yanayogusa wananchi wenye itikadi mbalimbali kisiasa na dini.
Kwa wale mashabiki wa Yanga ambao pia ni wanachama wa CCM napenda kuwaambia maumivu waliyonayo kwa mwamuzi kutokutenda haki ni nusu ya maumivu waliyonayo wananchi wanapoibiwa kura.
Mapungufu ya mwamuzi yanapelekea Mamelody kwenye nusu fainali wakifahamu fika kwamba haikuwa haki yao..ndicho wabunge wengi na hata Rais anavyofika madarakani kinyume cha sheria.
Tunapojadili haki tuanze kuyajadili maumivu ya kukosekana haki.......
Hai kivipi??Mods, sikufurahishwa na mada yangu kuichanganya na mada za mrengo wa kisiasa, uchaguzi sijui uchungu wa wa kura, huko hawajui idadi ya wanachama wao hai ni wangapi?