Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Wale wote wana shida mbeleni, wakifika mbinguni wataulizwa mmemsamehe Magu watasema ndiyo. Lakini ushahidi wao utaonyesha bado maana maandishi hayafutiki kabisa.
 
we ndio muuzaji wa hicho kitabu? Kenge katafute kazi ya kufanya siyo uzushi wa kipuuzi km huu
 
Mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe, kweli nyie mazuzu.
 
Kimesahaulika hadi kwenye orodha ya vitabu vilivyowahi kuchapwa TZ. Hakikuwa tofauti na toilet paper.
 
MIMI NDIO NAKITAFUTA KWELI ILI NIKISOME VIZURI, MAANA NILIKIFUATILIA KIDOGO KWENYE GAZETI LA MWANANCHI NIKAGUNDUA NI KIZURI NA KINANIFAA.
 
we ndio muuzaji wa hicho kitabu? Kenge katafute kazi ya kufanya siyo uzushi wa kipuuzi km huu
Sasa unapanic nini mkuu, amaukitukana watu ndio watanunua?.

Ebu niambie kama kuna paragraph Magu anazungumzia mikataba ya bandarizetu nikanunue nijue alisemaje.
 
Huwa nakisomaaaa, narudia. Ni kitabu kizuri sana. Kimemwanika Shetani hadharani. Dah, kweli Jiwe alikuwa zaidi ya ibilisi
 
Sasa unapanic nini mkuu, amaukitukana watu ndio watanunua?.

Ebu niambie kama kuna paragraph Magu anazungumzia mikataba ya bandarizetu nikanunue nijue alisemaje.
Ugekuwa na akili ungehoji zilichapishwa nakala ngapi? Zimeuzwa ngapi? Kwa muda gani? Malengo ni kuuza ngapi? Je watz ni wasomaji wa vitabu? Kile cha mkapa ziliuzwa nakala ngapi? Vinginevyo ni ukasuku na stress tu zinawasumbua
 
Ila mnampenda sana Marehemu. Yule jamaa angewageuza marehemu kama Mchungaji Mackenzie.

Natafuta kile kitabu nikisome, ule upembuzi uliopoatiwa hapa jukwaani ulikua murua sana.
Kilichozungumzwa mle ni facts tupu kwa ile session Moja TU niliyosoma
kama alituambia hakuna korona na wanachi kalibu wote tukaamini basi hakuna kipya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…