Mauzo ya kitabu cha kumchafua Hayati Magufuli yadoda

Lilongwe - Malawi. Nakala ya Kwanza ya Kitabu Kipya Cha Hayati Rais Magufuli Kama kilivyoandikwa na Profesa wa Chuo kikuu Cha Hebron Nchini Malawi Prof Malango Chinthenga kimeuzwa kwa USD 600 sawa na Tsh 1,450,000/= kwa Mwananchi wa Kawaida wa Malawi ambaye alijitokeza katika Uzinduzi wa Kitabu hicho jijini Lilongwe, Kitabu hicho chenye kurasa 461 na Chapter zipatazo 48 kimeanza kuwa Gumzo Kubwa Barani Afrika Kitabu kinaitwa "AFRICA MAGUFULI AND CHANGE" an integrated Approach in abolishing Africa's modern economic Slavery", kwa tafisiri isiyo Rasmi Ni "AFRIKA MAGUFULI NA MABADILIKO" Namna, Njia ya Kutokomeza Utumwa wa Kisasa wa Afrika Kiuchumi" Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kitabu Hicho jijini Lilongwe Dr Grace Kumchulesi ambaye Ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Maendeleo ya Serikali ya Malawi anasema:[emoji116] "Kutokea Hapa Malawi tutajitahidi kusambaza Kitabu Hiki katika Vyuo vyetu Vyote kwa ajili ya Vijana wetu Kujifunza Nini Maana ya Uongozi na Ukombozi wa Bara la Afrika kutoka katika Ukoloni

MBWEHA ENDELEENI KUBWEKA!
 
Legacy ya JPM inawatesa sana, maana inawaaibisha watendaji wabovu
 
Ugekuwa na akili ungehoji zilichapishwa nakala ngapi? Zimeuzwa ngapi? Kwa muda gani? Malengo ni kuuza ngapi? Je watz ni wasomaji wa vitabu? Kile cha mkapa ziliuzwa nakala ngapi? Vinginevyo ni ukasuku na stress tu zinawasumbua
Magu amekufa kimwili lakini atakuwa mwiba mchungu sanakwenye maisha ya vyeti feki na mafisadi.
 
Huo uchafu nani atausoma
 
Sio kila kitabu nichakuuza, vingine vipo kwa ajili ya kufikisha ujumbe au taarifa kwa walengwa. Kwa sababu maandishi yataishi muda mrefu, kwa hiyo wewe unayadharau sasa, ila yatasomwa miaka mingi ijayo.
Hicho kijitabu ni toilet pepa
 
bahati mbaya sana mapromoter wameanza kugeukia walioyaita matapishi.
 
Kwa mchango huu,huu uzi ufutwe ama ufungwe.
Uliyoyaandika ndio "ukweli na nusu" na uhalisia mtupu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…